Mwanaume wa kuishi naye, mtu mzima anatakiwa

Awe 40 to 50
Christian
Awe anaishi Ubungo au Kinondoni
Awe tayari kuishi pamoja

Mimi mwanamke mtu mzima
40 yrs
No kids
Christian
Naishi Ubungo
Kwa uandishi huu ndiyo maana hujaolewa. Huna adabu kwa mme bila shaka wewe ni Mnyaturu
 
Awe 40 to 50
Christian
Awe anaishi Ubungo au Kinondoni
Awe tayari kuishi pamoja

Mimi mwanamke mtu mzima
40 yrs
No kids
Christian
Naishi Ubungo
Yani mtu atafute maisha na mkewe, bado few years astaafu ale pension wewe ndio unajitokeza [emoji23][emoji23] wanawake wa Dar muwe walau na huruma, maana haya tunajua mmezikosa, basi muhurumie familia za watu, mnataka mle pension yote.
 
Awe 40 to 50
Christian
Awe anaishi Ubungo au Kinondoni
Awe tayari kuishi pamoja

Mimi mwanamke mtu mzima
40 yrs
No kids
Christian
Naishi Ubungo
Shida yangu kukoroma! [emoji1787] [emoji1787]
 
Awe 40 to 50
Christian
Awe anaishi Ubungo au Kinondoni
Awe tayari kuishi pamoja

Mimi mwanamke mtu mzima
40 yrs
No kids
Christian
Naishi Ubungo
Mwanamme wa ndoa hapangiwi awe anaishi wapi, labda hawara tu.
Inamana huyo mume kama akiajiriwa na akapata uhamisho kwenda mbali na Dar, inamaana ndoa inakufa.
 
Sijaelewa hapa.Anahitaji mtu wa kuishi nae mwanamme! Kuishi kuowana au kuishi tu huku mnapeana mzigo au inakuwaje? Au mlinzi?
 
Mkuu hujasema mwanaume awe na sifa zipi?
Six packs ,
Au hata wenye shepu ya upinde pia tuje inbox?
 
Maake hapo acha kwanza ncheke [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…