Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
- Thread starter
- #61
Hata na mimi nashangaa!Sasa mgongo wa mwanaume unapakwaje futa aisee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata na mimi nashangaa!Sasa mgongo wa mwanaume unapakwaje futa aisee!
🤣🤣🤣🤣🤣 khaaaa!!Umeolew na shoga
🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌Wew sema tu kwamba mwanaume wako asipojipaka anakua kama tako la fisi au kenge lakn wengn hatuwi ivo
Hizi ni dalili za kusema mwanaume akinya hatakiwi kutawaza(kuchamba).Ila kwel kupaka makalio mafuta ni somo gumu kama hesabu,hasa makalio hayafai kushikwashikwa maana yanaweza zoea tabia mbaya...kwanza mwanaume unaanzanje kushika makalio yako,ili iweje
Kuoga au kujimwagia maji!!? Mtu anaoga wima, sabuni inafika mpk kwenye kifua tu...passport size 🤢Hoja ni kupaka mafuta (au kutopaka mafuta), baada ya kuoga na tayari kutoka either kwenda kazini au kwenye mishe zingine, Hili swala la uchafu linaingia vipi?
Kwahiyo siku hizi uanaume unapimwa kwa namna ya kupaka mafuta sio?Uvaa nguo kwanza, alafu upaka mafuta sehemu za wazi za mwili wake baada ya kuvaa nguo. Sasa wale wanaojipakaga mafuta mwili mzima tuwaiteje?
Unajipaka na matako?ushamba tu, wengi mnatafsir mwanaume ni kiumbe flani aliyefanana na gogo, why nisiupake mwili wangu mafuta kwa bendera ya uanaume, wagumu komaeni na ugumu wenu, mm sio mgumu, mm ni msela ad msela tena na mafuta napaka mwili mzima
mwanaume huchambi ila unafuta na gunz au jiwe.Hizi ni dalili za kusema mwanaume akinya hatakiwi kutawaza(kuchamba).
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo hawa wanaotuomba tuwapake hadi mgongoni wana papuchi au?[emoji57]
Umemjibu vizuri sanaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kikubwa ananipiga miti hadi narusha maji. Sasa wewe endelea kutokutunza ngozi yako kwa kigezo kwamba itakufanya kuwa mwanaume rijali. Shoga ni shoga tu