Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Habari kaka... naomba ushauri mimi ni mama wa mtoto mmoja nina miaka 25
Nina ishi na mpenzi wangu niliezaa nae tunamiaka 8 mpaka sasa. Naomba ushauri kwani mimi najiona kabisa nakaribia kukata tamaa huyu kaka toka nimekua nae kwenye mahusiano alikuaga hana kazi mimi nikajitahidi pale nilipokuaga nafanyia kazi mimi kuna duka la nguo lilikua linahitaji kijana wa kuuza pale ikabidi nimtafte boss mwenyewe nikaongea nae nkamuelezea vizuri akanielewa na aka ruhusu nimlete huyo kaka basi kaanza kazi pale.
Kama unavojua pesa mwanarahamu alipata vi pesa vya kua anabadili nguo na chakula wakati huo mimi tayari ni mjamzito nipo tu nyumbani akawa ananihudumia lakini alianza kua malaya kama mbwa
Yani mpaka inafika hatua nampigia simu wanapokea wanawake na kuanza kunicheka nilikua najisikia vibaya sana akija nikimuuliza anasema simu aliacha chaji basi mimi nikawa namuelewa tu tumekaa mpaka mimba imefika wakati wa kujifungua.
Akasimamishwa kazini sikujua shida ni nini yeye akasema boss anafunga duka basi sikutaka kufatilia sana.. nlijifungua mtoto yule kaka hakua na kazi yoyote nikaenda kukaa kwao mpaka mtoto alivofikisha mwaka nikaenda kukaa nae kwake.
Nikatafuta kazi nikapata nikawa nafanya kazi nahudumia mwanangu na baba ake nlikua nafanya hivyo nikiamini ni kipindi cha mpito tu labda atajitahidi kutafuta kazi lakini kaka mpaka leo mwanaume hajishughulishi na chochote mimi ndio kila kitu nyumbani hata pesa ya kumlipia mtoto shule alikua hatoi mpaka leo mtoto kamaliza chekechekea mwakani anaanza la kwanza lakini baba yupo tu
Hanipi pesa hatoi pesa ya kodi wala kufanya chochote yani yupo tu yeye ni kula kuoga na kwenda vijiweni mpaka usiku kaka ii hali inaniumiza sana nawaza nimuache bora nibaki tu mwenyewe maana hakuna anachonisaidia naomba unishauli nifanyeje.... ficha jina langu