Mwanaume wangu hataki kufanya kazi. Mimi ndiyo na mlea na mtoto wangu, naombeni ushauri wenu

25-8 =17, hapo wewe ulikuwa na kazi yeye hana, na ndo kwanza uko na miaka 25 umeshachoka, usingle Maza unakuita mapema sana
 
Kukomaa sio miaka ila ni experience/ mapito mtu aliyoyapitia
Mtu anaweza kua na 17 lakini akawa amekomaa akili kuliko wa 30
sio kweli age is not a number, Huyo wa miaka 17 experience anakuwa ameitoa wapi kuliko wa miaka 30? wewe hujaona vijana wanasema wanajisikia raha kuwa na mahusiano na wanawake wenye umri mkubwa kinachotafutwa ni nini?
 
Ukiwa unaleta hizi stori zako za uongo na za kufikirika, ili tu kuchangamsha genge! uwe pia unazipangilia vizuri. Mfano mdogo tu ni kwenye hilo suala la umri wa huyo binti.
 
Ongeza na KUNIGEGEDA pale anapotaka yeye!
 
Ukiwa unaleta hizi stori zako za uongo na za kufikirika, ili tu kuchangamsha genge! uwe pia unazipangilia vizuri. Mfano mdogo tu ni kwenye hilo suala la umri wa huyo binti.
Sasa kama mtu ameamua kaunza kugegeda mihogo Bado mapema mm nimzue kama nan mkuu 😂 😂
 
Achana nae huyo hafai atakupa mtoto wa pili ndio utajuta zaidi ya haya majuto. Piga chini jiunge nami nikulelee mtoto ni PM
 
Hizi chai za Makengo hazinaga uhalisia
 
Pole sana kwa unayoyapitia. Mwanaume mvivu ni sawa na kuishi na ugonjwa. Linda afya yako, hasa ya akili. Mlelee mwanao hata wakikuita single mother, wewe ndio unajua shida unazopitia. Inshallah Mungu atakufungulia milango ya mafanikio zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…