Mwanaume wangu kafulia, simpendi tena kama zamani. Nifanyeje?


Mwandiko wa mwanaume huu
 
Sema tu ulikuwa unamuuzia uchi. Hapakuwa na mahusiano hapo.
 
Kama wanavyosemaga wadau, kama wadau wamekosea kwamba hii sio chai basi this is another wasted sperm.
 
Mke mpumbavu hubomoa nyumba kwa mikono yake mwenyewe
 
Kitoto cha buku mbili
 
Kwa mwendo huu kuliko kuwa mahusiano ni heri kujinunulia dada poa.
 
Yaani nisilipe ada ya mwanangu halafu nilipe kodi ya mwanamke?!🤣🤣 duh!
Either unakuwa fala au umelogwa, hakuna namna zaidi ya hapo. Na kwa maelezo yaliyotolewa nadhani huyu sio mke wake. Atakaemuacha mwenzake anakuwa kamsaidia mwenzake. Mwanaume ataumia ila atakuwa hayuko katika penzi la kugeuzwa kichumio, na mwanamke atapata ambaye wanaweza kwenda sawa.

Ila huyu mwanamke nadhani angejikita tu katika "biashara" au sijui "friends with benefit"kuliko kumzingua mchizi. So jamaa pia alikuwa ana finance upuuzi, sasa mambo yameyumba. Hela alizokuwa analipa rent na bata angekuwa kafanyia investment huenda angekuwa na nafuu au namna ya kuvuka wakati mgumu.
 
B***h
 
Well said...
 
Sio mtabiri, sijawahi kuishenyenta, kuiona, kuinusa wala kuigusa ila nina hakika iko hivi 👇👇
Cc Poor Brain
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…