Mwanawake: Kwani haiwezekani kupiga Picha bila kuonesha makalio?

Mwanawake: Kwani haiwezekani kupiga Picha bila kuonesha makalio?

😀 😀 😀bhasi mariam mabirianiiii
😁😁😁 kwel mwenyekiti umeanza kuzeeka
downloadfile-37.jpg
 
Hiyo tabia inaniudhi sana , na nikimuona demu anaonyesha makalio maana yake hana cha ku offer kwenye maisha zaidi ya makalio yake
Kila nikipita kwenye mitandao kuanzia Instagram, Twitter ( X ), Facebook n.k kote huko kwa asilimia kubwa unakuta Picha au clip ya demu akionesha makalio bila aibu

Sasa najiuliza ni matangazo au ni Nini???, au ndio Dunia unaelekea mwishoni???

Wengine mpk skuizi wanaenda kufanya upasuaji ( surgery ) ili awe na Tako kubwa ili kuleta ushawishi mfano yule aliyekuwa anatoka na mchizi wa radio Fulani maarufu anafanya kipindi Cha michezo ( Za ndaaani )

Ni wazi dunia inaelekea mwishoni coz watu wanakulana Sanaa 0713, bisha Sana ila huo ndio ukweli

Mfano mdogo TU hata hapa Jf ikitokea mtu kaleta mada hizo watu wengi wanachangia kwa Sanaa Yani, sio KE Wala ME.

Hata vitendo vya ulawiti vinakuwa kwa Kasi ya 5g kila siku ni tukio juu ya tukio, Mwenyezi Mungu atunusuru

Siku zote dalili ya mvua ni mawingu
 
Back
Top Bottom