Mwandani wangu hajivunii kua na mimi, ni kama anaona sio type yake

Mkuu kwani unapendelea kuvaa mavazi ya aina gani ?
 
Achana na mapenzi, njoo tusome vitabu, yaani ukizoea kusoma vitabu unaona vitu vingine vyotee vinakupotezea mda, ni wewe na vitabu, vitabu na wewe.
Kwa hyo hata ukitaka kula mbususu, kuzaa watoto unasoma tu kitabu au sio
 
Hakupendi.....


Kiashiria namba moja cha mwanamke anayekupenda ni anajivunia kuwa nà ww. Bila kujali.
 
Si dalili nzuri, one thing mwanamke hawez ficha is how she feels about you, ongea nae kama umemuoa afunguke ana expect nini or else jiandae fornbad news
 
Jitahidi uwe nadhifu .
Jitahidi uwe nadhifu.
 
Nenda gym, tengeneza muonekano, itafka kpnd atakua hatak utoke peke yako had mfuatane
 
Jenga ndani mzee
 
Mzalishe kila mwaka hadi watoto wafike 10 utakuja kunishukuru
 
Kuna ndugu yangu,ndoa yake ilivunjika toka wameoana anadai hajawahi kumuona mke wake anacheka hata achekeshe vipi hola .Ila akikaa na msaidizi wa kazi wanachekaaa weee.Akikaa sebuleni mke anaenda chumbani,akienda chumbani mke anarudi sebuleni.Pia kwenye simu alikuwa kamsevu mtu wa kwenye series za kihindi za Azam mkatilii nimemsahau.Kali kuliko hata wakisafiri mke na mume wanapanda bus tofauti.Mwishoe akamwambia hawaendani na kamuharibia watoto kwa sura mbaya.Kuwa makini jiweke pembeni mapemaaa.
 
Tatizo ukimuacha ndio Atajua kuwa mulikuwa munaendana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…