Mwandishi Ansbert Ngurumo apewa hifadhi kwa usalama wake nchini Finland

Mwandishi Ansbert Ngurumo apewa hifadhi kwa usalama wake nchini Finland

Hukuona mrejesho wa jarisa kutoka Finland!?? Acha propaganda za kikuda.
 
Ngurumo, acha propaganda za kudanganya watu kwamba umepewa ukimbizi nchini Ufini, hii siyo kweli, ulichofanya kama ni kweli ni kwamba ombi lako la ukimbizi limechukuliwa na linafanyiwa kazi na baada ya kujiridhisha kwamba ni kweli unastahili kupata Ukimbizi nchini Ufini kulingana na vigezo vyao ndiyo utapewa kibali cha kuwa Mkimbizi!

Ulichokifanya ni kuomba kuwa mkimbizi jambo ambalo kila raia wa Dunia hii anaweza kulifanya, lakini kukubaliwa ukimbizi ni jambo lingine kabisa, acha kudanganya watu, umetuma maombi lakini haujakubaliwa kupewa ukimbizi na maombi yako yatakataliwa lakini usisahau kutupa mrejesho hapa maombi yako yakikataliwa, kwani hauna sababu za kupewa Ukimbizi nchini ufini hivyo majibu yako nina uhakika kwa 90% yatakuwa negative, lkn kuomba hifadhi kila mtu anaweza kufanya hata members wote wa JF, Mayala, Mbowe, Zito, Mangi Kimambi &Co. wanaweza kuomba, lakini kama watakubaliwa ni swala lingine kabisa, ...

LUMUMBA street
Buku 7 kwa siku
Mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91]
 
Hakuna cha taswira kuchafuliwa hapo, kwani kuomba ukimbizi hasa kwa mtu anayechagua wapi pa kuombea ukimbizi ni jambo la hiari na kila mtu anaweza kufanya hata wewe kama ukiamua kwani ni swala binafsi, huyo amekwenda Ufini kutafuta maisha lkn anaingiza Siasa!

Kuomba ukimbizi sio hiyari....lazima kuwe na sababu ya msingi ili hata maombi yako yapokelewe
 
Imetafsirika kana kwamba amepewa Ukimbizi ikiwa na maana ya kwamba ametimiza vigezo vya kupewa Ukimbizi nchini Ufini jambo ambalo siyo kweli, ni kwamba ametuma maombi na sasa wanaangalia kama kweli anastahili kupewa Ukimbizi au la, na jibu ni kwamba hawezi kupewa labda kama amedanganya anatokea Somalia au Eritrea lkn vinginevyo kama amesema ni Mtanzania hawezi kupata Ukimbizi kwani wana wawakilishi wao hapa TZ yaani EU na Ubalozi wa Ufini na wanajua kwamba TZ hakuna anayestahili kupewa Ukimbizi!

Hivyo acheni kudanganya watu, kutuma maombi kila mtu anaweza kufanya hata wewe unaweza kuomba Ukimbizi nchi yoyote ile lkn kukubaliwa Ukimbizi ni swala lingine kabisa na hapa kwa A. Ngurumo kupata majibu positive asahahu!

Povu lote la nn bro!
 
Ngurumo, acha propaganda za kudanganya watu kwamba umepewa ukimbizi nchini Ufini, hii siyo kweli, ulichofanya kama ni kweli ni kwamba ombi lako la ukimbizi limechukuliwa na linafanyiwa kazi na baada ya kujiridhisha kwamba ni kweli unastahili kupata Ukimbizi nchini Ufini kulingana na vigezo vyao ndiyo utapewa kibali cha kuwa Mkimbizi!

Ulichokifanya ni kuomba kuwa mkimbizi jambo ambalo kila raia wa Dunia hii anaweza kulifanya, lakini kukubaliwa ukimbizi ni jambo lingine kabisa, acha kudanganya watu, umetuma maombi lakini haujakubaliwa kupewa ukimbizi na maombi yako yatakataliwa lakini usisahau kutupa mrejesho hapa maombi yako yakikataliwa, kwani hauna sababu za kupewa Ukimbizi nchini ufini hivyo majibu yako nina uhakika kwa 90% yatakuwa negative, lkn kuomba hifadhi kila mtu anaweza kufanya hata members wote wa JF, Mayala, Mbowe, Zito, Mangi Kimambi &Co. wanaweza kuomba, lakini kama watakubaliwa ni swala lingine kabisa, ...
Sikiliza wewe mpumbavu, naona mmewaka hasira Baada ya kuikosa damu yake, na wewe unaonekana kabisa kuwa upo ktk kundi la wauaji hatari mnaotumwa na Magufuli.
Chukieni mchukiavyo, Roho ya Ngurumo ipo salama, mlimuua Azory na kumpoteza mmemshindwa Ngurumo.
huyo ana rafiki zake wapo TISS ndo walimwokoa.
Hamtakaa mumwone tena Ngurumo, yupo salama, Endeleeni kutafuta Wengine wa kuua.
Ngurumo kapewa hifadhi ya kimataifa, kama hutaki andamana
 
Ni sahihi kuwa jamaa kwa sasa anahesabiwa kama Asylum Seeker wakati wanaprocess ombi lake ili apewe hadhi ya kuwa a Refugee but hii sio hoja hata kidogo hoja kubwa hapa ni taswira ya Taifa letu pendwa kwenye jumuiya ya kimataifa inayozidi chafuliwa aidha kwa bahati mbaya bila kujua au kwa makusudi na watu wasioitakia nchi yetu mema both local and international actors. Comprende amigo?
Nimependa ulivyojenga hoja.
 
Sikiliza wewe mpumbavu, naona mmewaka hasira Baada ya kuikosa damu yake, na wewe unaonekana kabisa kuwa upo ktk kundi la wauaji hatari mnaotumwa na Magufuli.
Chukieni mchukiavyo, Roho ya Ngurumo ipo salama, mlimuua Azory na kumpoteza mmemshindwa Ngurumo.
huyo ana rafiki zake wapo TISS ndo walimwokoa.
Hamtakaa mumwone tena Ngurumo, yupo salama, Endeleeni kutafuta Wengine wa kuua.
Ngurumo kapewa hifadhi ya kimataifa, kama hutaki andamana
Punguza hasira mkuu.
 
Mi nilijua tu, tena siku hizi ni ngumu kwelikweli. Kuna jamaa toka Congo nilikuwa nao Ujeruman it took them 3 years na majibu yalikuwa negative, na walikuwa deported. Ngoja tumsubiri arudishwe
Kwani NN na MM walipataje ukimbizi USA na Canada respectively?
 
Kama kweli alikuwa anafuatiliwa na Wasiojulikana, alichotakiwa kufanya ni kutoa taarifa kwa mamlaka husika na kukaa kusubiria lolote.

Kukimbia kama hivyo alivyofanya sio sawa kabisa.
 
NAONA KUNA MAOFISA WA UHAMIAJI WA FINLAND HAPA WANATOA MAJIBU YA NGURUMO.....lets be positive thewre case by case ....huwezi kugeneralize
 
Yaani ndo kusema roho imekuuma jamaa kunusurika kuuwawa/kutekwa sio?.watu mnaroho mbaya sana hivi nipesa kiasi gani unaweza kupewa kuuza utu wako na kuwa sehemu ya huu ujangili unaondelea.sjawahi kutukana humu lakini nyie mbwa mnaboa sana.nakaribia kupata ban siku4 si nyingi.mja wa laana wewe
 
Wewe kichaa tu kama yule anayewatuma wasiojulikana. Damu mlizokunywa bado hazijawatosha.
Tukaneni kwanza- mmemaliza? sasa naomba niwaulize Ansbert Ngurumo NI MWANDISHI WA HABARI, CHADEMA , ANU YOTE NI SAWA?
 
Wale wa risasi kukata kona!? Si bure umetoroka Mirembe wewe.
Huyo lisu ilitakiwa aende kutoa taarifa polisi sio kwenye mitandao na press conference. Wahusika wa lisu wako hukohuko chadema ndo maana wamemkimbiza hadi dereva wake.
 
Utakuwa umepungukiwa.

Kama ingekuwa ni rahisi kiasi hicho, Waafrika wangekuwa wamejaa huko. Ukumbuke kuwa huyu kwanza alikimbilia ubalozi kabla ya kupelekwa Ulaya.
Kimbilia na wewe basi,si mnafanya kusudi kuitukana serikali ili ukiomba hadhi ya ukimbizi ukubaliwe unaambatanisha na machapisho ya matusi unapata hadhi hiyo ya utumwa
 
Imetafsirika kana kwamba amepewa Ukimbizi ikiwa na maana ya kwamba ametimiza vigezo vya kupewa Ukimbizi nchini Ufini jambo ambalo siyo kweli, ni kwamba ametuma maombi na sasa wanaangalia kama kweli anastahili kupewa Ukimbizi au la, na jibu ni kwamba hawezi kupewa labda kama amedanganya anatokea Somalia au Eritrea lkn vinginevyo kama amesema ni Mtanzania hawezi kupata Ukimbizi kwani wana wawakilishi wao hapa TZ yaani EU na Ubalozi wa Ufini na wanajua kwamba TZ hakuna anayestahili kupewa Ukimbizi!

Hivyo acheni kudanganya watu, kutuma maombi kila mtu anaweza kufanya hata wewe unaweza kuomba Ukimbizi nchi yoyote ile lkn kukubaliwa Ukimbizi ni swala lingine kabisa na hapa kwa A. Ngurumo kupata majibu positive asahahu!

Hivi kwanini mnawateka watu na kuwapoteza kwenye uso wa Dunia?
 
Hapana kuomba kila mtu anaweza hata wewe unaweza kusema kwamba mimi kwetu Tanzania labda naogopa kuishi kwa sababu wanachuna watu ngozi watachukuwa maombi yako na hiyo sababu halafu kuja kutoa uamuzi kulingana na hiyo sababu, lkn kuomba ukimbizi hata wewe ukienda Ufini leo hii ukaamua kuomba ukimbizi ni ruksa, watoto wa Kizanzibari wanaita ,,kujilipua" , lkn kupata jibu positive hilo ni swala lingine kabisa, na hapa kwa Ngurumo atapata ni negative hiyo ni kwa 90%!
Hujui hata unachozungumza! Kwanza nikujulishe Ngurumo HAKUOMBA ukimbizi na wala hayuko huko kama mkimbizi. Soma tena uelewe yale maelezo. Amepewa protection (hifadhi) kwa kuwa yuko kwenye hatari katika nchi yake.
 
Back
Top Bottom