Mwandishi Ansbert Ngurumo apewa hifadhi kwa usalama wake nchini Finland

Mwandishi Ansbert Ngurumo apewa hifadhi kwa usalama wake nchini Finland

Je huyu Ngurumo alitekwa au alipotea, alijiteka au namna gani? Maana watu wametoa mapovu mpaka mishipa ya shingo mithili ya kupasuka kumbe mtu ana mambo yake na raha zake ili mradi Sera za CDM kuonesha ubaya wa uongozi uliopo
Mmmmh Mpaka atekwe?
Sasa angetekwa angekimbiliaje huko?
 
aaaaah Gavana Mkuuu!! labda ulitaka kumquote [HASHTAG]#Patriot[/HASHTAG] maana hajaelewa kwa nn mwandishi Ngurumo kajificha FINLAND na sio nearby shit hole country!!!!

Chunga usijaribu kuchumbia binti wa ngurumo utajikuta uko Coco beach 😛😛
 
Eeeeeeh
Nisome nini.. wakati ametunga hayo yote..
Haaaaaaa
Sasa Kaka yako aliyekuzidi unamuandikia nini kwa uzi huu.. una docs kuonyesha..
Rudi kwa huyo vyuma vimemkaza haswaaa kwa uvivu wake akakimbilia kudanganya..

Ila upinzani nyie wehu sasa.. Tanzania ina wakimbizi kibao.. mlifikiriaje kabisa kwamba kuàndika haya irawapa kiki au kushusha mazuri anayofanya Magufuli.. yaani kwa kweli.. uko mlipo kwa futi 6 bora mufukiwe.. ndio maana viongozi wenu na wabunge n.k. sasa hivi wanaishi kula tu.. na kuhakikisha hata pesa za mgawo wa maendeleo kwenye majimbo yao wanafanyia yao.. wanajua hawarudi bungeni 2020.. eeeeeh
Kama Lissu inamaana zake kaziweka tu anasubiri kuja kununua vocha abwate tu mifandaoni.. naye wakili hewa kama wewe.. na ysyw kesi za eti ma celbs ndio anajionaga amewini na zile zilizo wazi iuwa sio ngumu..

Lingine acha kumuonea WIVU
Le Mutuz
Maana unakosaga usingizi juu yake nilikusoma kwa uzi wake mzuri watu wanampenda aiseeee.. si uomeona.. eeeeh lia
Wewe sijui mama\baba huwa sikuelewagi unachondika .
 
Atafuta Kiki kifo kinakimbiwa Toka lini,kinapofika ata ulipo kinakukuta sema kaenda kwenye masilahi zaid
Kibanda ,ulimboka,Roma ,lisu ,hawa wote walikufa ??watu wengine sijui akilizenu huwa anawashikia nani ??au hamna kabisa ?
 
Weak leaks founders yupo kwenye Ecuadorian embassy’s uingereza,aje bongo huyo raia wao na sisi tumpe hifadhi kwani dawa ya moto ni moto
 
Ukitaka kuwa mtumwa wa wazungu fuata kila wanachosema wakati wao hawafanyi...jamaa yao anatoa siri zao wa weak leaks wanamtafuta daily atoke kwenye embassy ya Ecuador
 
Nyie mnadanganyika kirahisi sana. Viashiria vyote ni kuwa, sinema ya Ansbert Ngurumo ni kama ya yule Abdul Nondo. Nondo atekwe halafu karudi poa kabisa labda na marinda yake ! Huyu mwingine anasema kafuatiliwa halafu kaweza kusafiri kwenda Finland, how?? Mnacheza nyinyi.
Kwani Roma hamkumrudisha namalinda??
 
Kuwa mkimbizi mnaipigia filimbi kama vile ni wa kwanza duniani.. eeeeeh

Uamuzi wake huo.. alitaka tu kwenda ulaya kuishi huko baada ya kuwa mvivu kufanya kazi kujilisha
Tatizo kazi ya kujilisha kwa kuimba wimbo wa kumsifu mkuu wa kaya kwa kujilazimisha siyo wote wanaweza,Wengine nafsi zao haziwaruhusu kusema uongo.
 
Huyo lisu ilitakiwa aende kutoa taarifa polisi sio kwenye mitandao na press conference. Wahusika wa lisu wako hukohuko chadema ndo maana wamemkimbiza hadi dereva wake.
Ngurumo aliambiwa na mkurugenzi wa habari maelezo. kwamba unajifanya shujaa sana ila kumbuka mashujaa wote walishakufa .na alienda kutoa taarifa .jaribu kukaa kimya vitu vingine.pia usijione uko salama sana kisa uko upande wamrusha risasi .yule dogo wa nit hakuwa nachama chochote wala hakuwa kwenye maandamano .lakini alipigwa risasi zakichwa .
 
Kwa.miaka 30 watu waliishi maisha ya kuigiza, 1+1 walisema Ni 3 sasa president anasema lazima iwe mbili(2), hapo sasa. Wengi watalia sana kipindi hiki. Wataongea sana na visingizio kibao lakini ukweli uko palepale.
Yaweza kuwa ugonjwa wa red blindness hata kwenye kuona hali halisi ilivyo.Uminywaji wa Uhuru wa kujieleza wewe umeona 1+1=2.Vizuri ila likikufika usilielie
 
Ni habari mbaya kwa nchi yetu inaendelea kuwa na hadhi mbaya ndani /nje ya mipaka yake. Maisha ya waandishi wa habari, wanasiasa na wanaharakati yamekuwa ya mashaka.

Mwanahabari Ansbert Ngurumo aliyewahi kuwa mhariri wa Magazeti ya Tanzania Daima na Mwanahalisi, amekimbilia nchini Finland na kupewa hifadhi huko, kwa muda alikuwa akisema anatishiwa kuuawa.

Habari zaidi soma=> Ansbert Ngurumo: Muda wowote naweza kufa maana natishiwa kifo

UPDATE:

Mwandishi wa Habari mwandamizi nchini, Ansbert Ngurumo amepata hadhi ya kupewa ulinzi nchini Finland, baada ya kudai amekimbia aliowaita "wauaji" wake.

Ngurumo ambaye amewahi kuwa mhariri wa magazeti kadhaa nchini; Mtanzania, Tanzania Daima na MwanaHalisi, ameiambia JamiiForums kuwa amekiepuka kifo kilichopangwa na wale aliowaita "wasiojulikana."

Akizungumza na JamiiForums, Ngurumo alisema ni kweli amekimbia Tanzania ili kuulinda uhai wake baada ya kuanza kuwindwa na watu wasiojulikana.

"Tangu mwaka jana nimekuwa nikipokea vitisho vingi na vyenye kuogofya kufuatia makala zangu kwenye gazeti la MwanaHalisi. Nimenusurika kuuawa mara kadhaa, lakini nashukuru Mungu hadi leo niko hai," anasema Ngurumo.

Anasema ili kunusuru uhai wake, alilazimika kujificha Mwanza tangu mwaka jana na baadaye kupata kwenda Kenya, kabla ya kwenda Sweden na sasa Finland, ambako amepewa hifadhi.

Ngurumo anasema hadhi aliyopewa Finland, siyo ya ukimbizini, bali ni "hifadhi ya kimataifa," kuunusuru uhai wa mtu ambaye yuko katika hatari ya kuuawa nchini mwake.

Vyombo vya Habari vya Finland na mitandao ya kijamii, imeandika habari ya Ngurumo kukimbia Tanzania kwa hofu ya kuuawa.

"Nimezungumzia mkasa wangu wa kunusurika kudakwa na watu wasiojulikana, ambao wamekuwa wakipanga kuniua na wamejaribu mara kadhaa bila mafanikio, sasa nikaona niwakimbie, kwani kufa kijinga ni dhambi kubwa," anaongeza Ngurumo.

JamiiForums inatambua kuwa Ngurumo alianza kuhofia maisha yake baada ya kudai kupokea vitisho kwa alichodai ni kufuatia kuandika makala kwenye gazeti la MwanaHalisi ikiwa na kichwa cha habari; “Tumuombee Rais Magufuli au Tundu Lissu?”
Nadhani huko atakuwa na amani na furaha kama Mambi Kimambi. Aidha wigo wa kuandika habari zake kwa uhuru zitapanuka. Hongera sana!
 
Definition ya ukimbizi inaeleweka vizuri au...tunaandika tu ukimbizi.
Still Tanzania is the best place to live ever seen
Hat somalia kuna watu ambao wanapaona is the best place to live. Kwa ww ambae una kadi yako ya kijan na kwa cku una buku saba mkonon hakuna shda kwako
 
Kuwa mkimbizi mnaipigia filimbi kama vile ni wa kwanza duniani.. eeeeeh

Uamuzi wake huo.. alitaka tu kwenda ulaya kuishi huko baada ya kuwa mvivu kufanya kazi kujilisha
Mbwa koko katika ubora wake
 
Tizama kijana wa Lumumba alivyo mvivu baada ya kutupiwa buku 7 anakuja kututapikia humu. Kwa faida ya wengine Gonga hapo

Ludovick Mwijage: The Dark Side of Nyerere's Legacy
Dogo! Kama elimu ni kunyonya kila unachokisoma basi ndo maana 'thinking' yako iko chini. maelezo haya nimeyaomba kwako mara nyingi tu baada ya kuona mchango wako kwenye thread hii. Imekuchukuwa majibizano marefu, takribani messages 4 kabla hujanionyesha ulipochota maelezo kama hayo.

Now that I have read the document, I am discovering; you just picked a story written by an authenticated person. How can you convince any mentally fit person, a person with sound mind, of this being an evidence to be referred to, quote whatever included, ending up at JF in a struggle to substantiate your statement. This is part of your grave stupidity.

Have you explored of this person's whereabouts? Mwijage's story was narrated way back in the 1980s in a different approach from what you stupidly tries to twist and analogize that past incidence to this, current, stupid oldman, not even a politician, who looks a way out to Europe! Can you be clever enough to synthesize Ngurumos motive? Jamaa maisha ya bongo yamebana na uonavyo anasimulia kuhifadhiwa ulaya kwa majivuno ya mtu aliyeukata! nahisi nawe umepumbazika na tamaa ya kuhifadhiwa.
 
Na umri huo kukimbiq nchi Ni mateso sana, Tanzania is the best place to live asikwambiye MTU. Nenda kokote duniani lakini home is the best. Huyo atatamani kurudi baada ya mwaka Mmoja.ulaya, marekani Ni kukaa kwa muda tu lakini siyo kuweka makazi ya kudumu.
Atamani kuja kuzikwa???
 
Back
Top Bottom