Ngurumo, acha propaganda za kudanganya watu kwamba umepewa ukimbizi nchini Ufini, hii siyo kweli, ulichofanya kama ni kweli ni kwamba ombi lako la ukimbizi limechukuliwa na linafanyiwa kazi na baada ya kujiridhisha kwamba ni kweli unastahili kupata Ukimbizi nchini Ufini kulingana na vigezo vyao ndiyo utapewa kibali cha kuwa Mkimbizi!
Ulichokifanya ni kuomba kuwa Mkimbizi jambo ambalo kila raia wa Dunia hii anaweza kulifanya, lkn kukubaliwa Ukimbizi ni jambo lingine kabisa, acha kudanganya watu, umetuma maombi lkn haujakubaliwa kupewa Ukimbizi na maombi yako yatakataliwa lkn usisahau kutupa mrejesho hapa maombi yako yakikataliwa, kwani hauna sababu za kupewa Ukimbizi nchini Ufini hivyo majibu yako nina uhakika kwa 90% yatakuwa negative, lkn kuomba hifadhi kila mtu anaweza kufanya hata members wote wa JF, Mayala, Mbowe, Zito, Mangi Kimambi &Co. wanaweza kuomba, lkn kama watakubaliwa ni swala lingine kabisa, ...