Hivi hujasikia yule kijana aliyekimbilia Swaziland aliyekuwa akimkosoa Nyerere ?? Matokeo yake alitumwa yule mtu wa TISS kutoka BAKWATA marehemu Sheikh Yahya Hussein aliyekuwa akijifanya ni mtabiri. Kule akajifanya anauza kahawa kumbe alikuwa kwenye mission ya kumteka kijana . Na walipompata wakamwingiza Msumbiji kwa kumtupa kwenye buti la gari.
Kufika Msumbiji ndege ilikuwa ikimsubiri , moja kwa moja mpaka kwa watu wasiojulikana Dar. Hapa baada ya kubanwa korodani na mateso mengi kwa shinikizo la UNHCR pamoja na Human Rights akaachiliwa na kuchukuliwa na Denmark