Patriot
JF-Expert Member
- Feb 11, 2008
- 5,705
- 4,703
Kuna Uzi mwingine juu ya hili lakini mimi najiuliza nini kinamsumbua mtu anakwenda ulaya badala ya kuokoa maisha yake kwa kuvuka mpaka na kwenda Kenya, Zambia, Malawi, Uganda na hata akipenda Namibia? Wapo wengi wanaotamani wasifiwe na ulaya. Ni tamaa ya kuishi ulaya kwa pesa ya jamii. Baadaye ataomba na familia iende, halafu sisi tunasema eti yuko hatarini.New development in Tanzania.
Tutafika tu wanakotaka twende lkn wajue hata wao hawatabaki salama.