Ghost Worker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 1,412
- 1,864
Mkimbizi ni mtu yoyote anayekimbia nchi yake kutokana na ghasia, vita au mateso. Ili kupata assylum mtu anatakiwa kuwa na HOFU ILIYOTHIBITISHWA VYEMA kuwa anaweza KUTESWA kutokana na rangi yake, utaifa wake, MAWAZO YAKE YA KISIASA, imani yake au UANACHAMA WAKE KATIKA KIKUNDI/CHAMA CHOCHOTE na kwamba HAWEZI au ANAOGOPA kurejea nyumbani. Amani uchwara kama mnayofunzwa huko chipukizi kuwa IPO hapa sio kigezo KABISA cha kumnyina mtu hifadhi. Kafunze na chipukizi wenzio mkikutana saa kumi kwa ajili ya mazoezi ya kwaya ya kumpokea PM.Huyo amekwenda kufuata hali bora ya maisha,ni mkimbizi wa kiuchumi tu.
Miaka ya nyuma wapemba walikua wanajilipua uk eti kwao wanawindwa na kuuwawa,mpaka serika ya uk imekuja kustuka kuwa hao ni wazamiaje wengi walishapata makaratasi,ingawa walituchafua sana