Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Salama kwa wanufaika wa mfumo huuDefinition ya ukimbizi inaeleweka vizuri au...tunaandika tu ukimbizi.
Still Tanzania is the best place to live ever seen
Huyo kaenda tu kutafuta maisha baada ya kutokuwa na kazi ya kufanya hapa Tanzania,akatafuta njia ya kupata hifadhi kwa kujifanya yeye anatafutwa na serikali.Ngurumo ana kipi cha maana ,wao huchokoza serikali halafu hukimbia na hilo ni fundisho kwa akina mimi je na nyie mtakuwa na uwezo wa kukimbilia nje kama akina Ngurumo,huyu sio mwandishi wa habari bali ni mwanasiasa wa Chadema na waandishi hawa kazi yao kubwa ni kufanya kampeni za kuichafua nchi ili kuwafurahisha mabwana zao wanaowapa hifadhi za muda,shame to them.Ni habari mbaya kwa nchi yetu inaendelea kuwa na hadhi mbaya ndani /nje ya mipaka yake. Maisha ya waandishi wa habari, wanasiasa na wanaharakati yamekuwa ya mashaka.
Mwanahabari Ansbert Ngurumo aliyewahi kuwa mhariri wa Magazeti ya Tanzania Daima na Mwanahalisi, amekimbilia nchini Finland na kupewa hifadhi huko, kwa muda alikuwa akisema anatishiwa kuuawa.
Habari zaidi soma=> Ansbert Ngurumo: Muda wowote naweza kufa maana natishiwa kifo
UPDATE:
Mwandishi wa Habari mwandamizi nchini, Ansbert Ngurumo amepata hadhi ya kupewa ulinzi nchini Finland, baada ya kudai amekimbia aliowaita "wauaji" wake.
Ngurumo ambaye amewahi kuwa mhariri wa magazeti kadhaa nchini; Mtanzania, Tanzania Daima na MwanaHalisi, ameiambia JamiiForums kuwa amekiepuka kifo kilichopangwa na wale aliowaita "wasiojulikana."
Akizungumza na JamiiForums, Ngurumo alisema ni kweli amekimbia Tanzania ili kuulinda uhai wake baada ya kuanza kuwindwa na watu wasiojulikana.
"Tangu mwaka jana nimekuwa nikipokea vitisho vingi na vyenye kuogofya kufuatia makala zangu kwenye gazeti la MwanaHalisi. Nimenusurika kuuawa mara kadhaa, lakini nashukuru Mungu hadi leo niko hai," anasema Ngurumo.
Anasema ili kunusuru uhai wake, alilazimika kujificha Mwanza tangu mwaka jana na baadaye kupata kwenda Kenya, kabla ya kwenda Sweden na sasa Finland, ambako amepewa hifadhi.
Ngurumo anasema hadhi aliyopewa Finland, siyo ya ukimbizini, bali ni "hifadhi ya kimataifa," kuunusuru uhai wa mtu ambaye yuko katika hatari ya kuuawa nchini mwake.
Vyombo vya Habari vya Finland na mitandao ya kijamii, imeandika habari ya Ngurumo kukimbia Tanzania kwa hofu ya kuuawa.
"Nimezungumzia mkasa wangu wa kunusurika kudakwa na watu wasiojulikana, ambao wamekuwa wakipanga kuniua na wamejaribu mara kadhaa bila mafanikio, sasa nikaona niwakimbie, kwani kufa kijinga ni dhambi kubwa," anaongeza Ngurumo.
JamiiForums inatambua kuwa Ngurumo alianza kuhofia maisha yake baada ya kudai kupokea vitisho kwa alichodai ni kufuatia kuandika makala kwenye gazeti la MwanaHalisi ikiwa na kichwa cha habari; “Tumuombee Rais Magufuli au Tundu Lissu?”
Anatafuta Maisha especially ResettlementBasi wacha aishi huko tuu
Fala sana wewe, Ngurumo amesoma Uingereza, angekuwa na matamanio hayo angezamia Uingereza akiwa na student viza ambayo ndio viza rahisi kuishi Uingereza muda mrefu.Kuwa mkimbizi mnaipigia filimbi kama vile ni wa kwanza duniani.. eeeeeh
Uamuzi wake huo.. alitaka tu kwenda ulaya kuishi huko baada ya kuwa mvivu kufanya kazi kujilisha
Wewe kada wa Lumumba unajifanya hujui kinachoendelea Tanzania??Definition ya ukimbizi inaeleweka vizuri au...tunaandika tu ukimbizi.
Still Tanzania is the best place to live ever seen
Hadhi gani weweeee ukimbizi mbona wengi tu wanapewa...KACHEMSHA HUYO atajuta hakujipanga eti kaenda finland kuna nini huko hata kazi ya kufagia sio rahisi kupata mpaka awe na diploma ya lugha ukimbizi ataambulia kupewa pesa za kula tena kwa masharti ya kwenda kusoma lugha kama darasa la kwanza kila siku asipo enda siku moja pesa inakatwa..pesa zenyewe hazi toshi hata mahitaji ya mtu moja..hali ya hewa ndio hiyo hakuna deal lolote huko...kwanini akimbilie finland mbona kama kweli ni mkimbizi wa kweli si angeenda uingereza ambapo haki za binadamu zilipo anzia ..mama na baba wa haki za binadamu yuko uingereza. Hakuweza kwenda huko akijua uingereza isinge sikiliza ujinga kama huo..atupe mrejesho baada ya mwaka maisha yakoje huko na anafanya nini....wakimbizi wa kawaida wenyewe hawaendi huko unless umeshindwa kabisa kupata ukimbizi kwingine ndio unaamua kujipeana huko lakini wengi wao hukimbia tena na kwenda nchi jirani kama Sweden..Norway na bado wanatamani wangekuwa uingereza hahahahaaaaasNi habari mbaya kwa nchi yetu inaendelea kuwa na hadhi mbaya ndani /nje ya mipaka yake. Maisha ya waandishi wa habari, wanasiasa na wanaharakati yamekuwa ya mashaka.
Mwanahabari Ansbert Ngurumo aliyewahi kuwa mhariri wa Magazeti ya Tanzania Daima na Mwanahalisi, amekimbilia nchini Finland na kupewa hifadhi huko, kwa muda alikuwa akisema anatishiwa kuuawa.
Habari zaidi soma=> Ansbert Ngurumo: Muda wowote naweza kufa maana natishiwa kifo
UPDATE:
Mwandishi wa Habari mwandamizi nchini, Ansbert Ngurumo amepata hadhi ya kupewa ulinzi nchini Finland, baada ya kudai amekimbia aliowaita "wauaji" wake.
Ngurumo ambaye amewahi kuwa mhariri wa magazeti kadhaa nchini; Mtanzania, Tanzania Daima na MwanaHalisi, ameiambia JamiiForums kuwa amekiepuka kifo kilichopangwa na wale aliowaita "wasiojulikana."
Akizungumza na JamiiForums, Ngurumo alisema ni kweli amekimbia Tanzania ili kuulinda uhai wake baada ya kuanza kuwindwa na watu wasiojulikana.
"Tangu mwaka jana nimekuwa nikipokea vitisho vingi na vyenye kuogofya kufuatia makala zangu kwenye gazeti la MwanaHalisi. Nimenusurika kuuawa mara kadhaa, lakini nashukuru Mungu hadi leo niko hai," anasema Ngurumo.
Anasema ili kunusuru uhai wake, alilazimika kujificha Mwanza tangu mwaka jana na baadaye kupata kwenda Kenya, kabla ya kwenda Sweden na sasa Finland, ambako amepewa hifadhi.
Ngurumo anasema hadhi aliyopewa Finland, siyo ya ukimbizini, bali ni "hifadhi ya kimataifa," kuunusuru uhai wa mtu ambaye yuko katika hatari ya kuuawa nchini mwake.
Vyombo vya Habari vya Finland na mitandao ya kijamii, imeandika habari ya Ngurumo kukimbia Tanzania kwa hofu ya kuuawa.
"Nimezungumzia mkasa wangu wa kunusurika kudakwa na watu wasiojulikana, ambao wamekuwa wakipanga kuniua na wamejaribu mara kadhaa bila mafanikio, sasa nikaona niwakimbie, kwani kufa kijinga ni dhambi kubwa," anaongeza Ngurumo.
JamiiForums inatambua kuwa Ngurumo alianza kuhofia maisha yake baada ya kudai kupokea vitisho kwa alichodai ni kufuatia kuandika makala kwenye gazeti la MwanaHalisi ikiwa na kichwa cha habari; “Tumuombee Rais Magufuli au Tundu Lissu?”
Ndio ataenda kujua kwanini ile nchi ina population ya watu 5.5 milion tu...Ni habari mbaya kwa nchi yetu inaendelea kuwa na hadhi mbaya ndani /nje ya mipaka yake. Maisha ya waandishi wa habari, wanasiasa na wanaharakati yamekuwa ya mashaka.
Mwanahabari Ansbert Ngurumo aliyewahi kuwa mhariri wa Magazeti ya Tanzania Daima na Mwanahalisi, amekimbilia nchini Finland na kupewa hifadhi huko, kwa muda alikuwa akisema anatishiwa kuuawa.
Habari zaidi soma=> Ansbert Ngurumo: Muda wowote naweza kufa maana natishiwa kifo
UPDATE:
Mwandishi wa Habari mwandamizi nchini, Ansbert Ngurumo amepata hadhi ya kupewa ulinzi nchini Finland, baada ya kudai amekimbia aliowaita "wauaji" wake.
Ngurumo ambaye amewahi kuwa mhariri wa magazeti kadhaa nchini; Mtanzania, Tanzania Daima na MwanaHalisi, ameiambia JamiiForums kuwa amekiepuka kifo kilichopangwa na wale aliowaita "wasiojulikana."
Akizungumza na JamiiForums, Ngurumo alisema ni kweli amekimbia Tanzania ili kuulinda uhai wake baada ya kuanza kuwindwa na watu wasiojulikana.
"Tangu mwaka jana nimekuwa nikipokea vitisho vingi na vyenye kuogofya kufuatia makala zangu kwenye gazeti la MwanaHalisi. Nimenusurika kuuawa mara kadhaa, lakini nashukuru Mungu hadi leo niko hai," anasema Ngurumo.
Anasema ili kunusuru uhai wake, alilazimika kujificha Mwanza tangu mwaka jana na baadaye kupata kwenda Kenya, kabla ya kwenda Sweden na sasa Finland, ambako amepewa hifadhi.
Ngurumo anasema hadhi aliyopewa Finland, siyo ya ukimbizini, bali ni "hifadhi ya kimataifa," kuunusuru uhai wa mtu ambaye yuko katika hatari ya kuuawa nchini mwake.
Vyombo vya Habari vya Finland na mitandao ya kijamii, imeandika habari ya Ngurumo kukimbia Tanzania kwa hofu ya kuuawa.
"Nimezungumzia mkasa wangu wa kunusurika kudakwa na watu wasiojulikana, ambao wamekuwa wakipanga kuniua na wamejaribu mara kadhaa bila mafanikio, sasa nikaona niwakimbie, kwani kufa kijinga ni dhambi kubwa," anaongeza Ngurumo.
JamiiForums inatambua kuwa Ngurumo alianza kuhofia maisha yake baada ya kudai kupokea vitisho kwa alichodai ni kufuatia kuandika makala kwenye gazeti la MwanaHalisi ikiwa na kichwa cha habari; “Tumuombee Rais Magufuli au Tundu Lissu?”
Fala sana wewe, Ngurumo amesoma Uingereza, angekuwa na matamanio hayo angezamia Uingereza akiwa na student viza ambayo ndio viza rahisi kuishi Uingereza muda mrefu.
Hujui kitu kaa kimya.
Wanadhani watanzania wa leo wanababaishwa na ulaghai wa jumuiya za kimataifa
Mbona unaniandikia lugha chafu
Kusoma uingereza ndio unaona dili.. ingekuwa dili na hayo yote leo mbona kawa mkimbizi wa uchumi!!!! Yaani yeye ni kati ya wale waliopoteza muda basi huko.. hata exposure hakupata kabisaaaa huko.. kwa ulichokiandika bure kabisa.. eti angezamia ha ha haaaa.. si angekosa pesa za bure.. Huyo mkimbizi huko analipwa pesa ya kula lazima.. ni mvivu.. kufungiwa gazeti kaenda kudanganya.. Eeeeeh kweli wewe ni kichwa tupu sana.. maneno yangu yamekuchoma hadi unakomaaa na kulia ha ha haaaa.. Eti kusoma unaringia... eeeeh si bora mara mia ungeandika alizaliwa.. ha ha haaaaaa.. Unajua kuna watu wangapi wamezaliwa huko na wapo nchini TZ.. ambao kubadili hata wakitaka British passport ni sekunde tu na kwenda kuishi huko UK bila visa au kuzamia.. kama akili yako inavyotamani kufanyahuku hata ulipo ujui lolote kuu.. ulipopaandika kama vile ni mbinguni.. bure kabisa wewe.. wakili hewa wa chini ya miti unayepata wateja wanao tukanana mitandaoni bila hata kushitakiana... refa tu wewe wa wadaku na wenye kuoneana wivu
Mmoja wao ni wewe nini??Asylum zinatolewa kila siku kwenye hizo nchi na Amerika, hakuna cha ajabu
Nawajua watu ambao wamepewa asylum kwa sababu za ajabu ajabu na kutoa documents zote fake kusapoti madai yao.
Le Mutuz ndio alikuwa mkimbizi wa uchumi Marekani, soma vizuri asylum ya Ngurumo ni ya nini.Mbona unaniandikia lugha chafu
Kusoma uingereza ndio unaona dili.. ingekuwa dili na hayo yote leo mbona kawa mkimbizi wa uchumi!!!! Yaani yeye ni kati ya wale waliopoteza muda basi huko.. hata exposure hakupata kabisaaaa huko.. kwa ulichokiandika bure kabisa.. eti angezamia ha ha haaaa.. si angekosa pesa za bure.. Huyo mkimbizi huko analipwa pesa ya kula lazima.. ni mvivu.. kufungiwa gazeti kaenda kudanganya.. Eeeeeh kweli wewe ni kichwa tupu sana.. maneno yangu yamekuchoma hadi unakomaaa na kulia ha ha haaaa.. Eti kusoma unaringia... eeeeh si bora mara mia ungeandika alizaliwa.. ha ha haaaaaa.. Unajua kuna watu wangapi wamezaliwa huko na wapo nchini TZ.. ambao kubadili hata wakitaka British passport ni sekunde tu na kwenda kuishi huko UK bila visa au kuzamia.. kama akili yako inavyotamani kufanyahuku hata ulipo ujui lolote kuu.. ulipopaandika kama vile ni mbinguni.. bure kabisa wewe.. wakili hewa wa chini ya miti unayepata wateja wanao tukanana mitandaoni bila hata kushitakiana... refa tu wewe wa wadaku na wenye kuoneana wivu
Huyo amekwenda kufuata hali bora ya maisga,ni mkimbizi wa kiuchumi tu.
Miaka ya nyuma wapemba walikua wanajilipua uk eti kwao wanawindwa na kuuwawa,mpaka serika ya uk imekuja kustuka kuwa hao ni wazamiaje wengi walishapata makaratasi,ingawa walituchafua sana
Waende tuNaamini huyu kawa wa kwanza tu ila kuna wengi watatafuta political asylum Ulaya na Marekani.
Inawezekana.Mmoja wao ni wewe nini??
Waende tu