Mwandishi Ansbert Ngurumo apewa hifadhi kwa usalama wake nchini Finland

Mwandishi Ansbert Ngurumo apewa hifadhi kwa usalama wake nchini Finland

Ni habari mbaya kwa nchi yetu inaendelea kuwa na hadhi mbaya ndani /nje ya mipaka yake. Maisha ya waandishi wa habari, wanasiasa na wanaharakati yamekuwa ya mashaka.

Mwanahabari Ansbert Ngurumo aliyewahi kuwa mhariri wa Magazeti ya Tanzania Daima na Mwanahalisi, amekimbilia nchini Finland na kupewa hifadhi huko, kwa muda alikuwa akisema anatishiwa kuuawa.

Habari zaidi soma=>Ansbert Ngurumo: Muda wowote naweza kufa maana natishiwa kifo
Aache kutuchulia! By the way, hivi wale wapemba waliokimbilia Mombasa mwaka 2001 walisharejee?
 
Watu kwa kutafuta umaarufu. Ansbert Ngurumo anatishiwa na nani, uchumi wa mfukuno kwake?
Na umri huo kukimbiq nchi Ni mateso sana, Tanzania is the best place to live asikwambiye MTU. Nenda kokote duniani lakini home is the best. Huyo atatamani kurudi baada ya mwaka Mmoja.ulaya, marekani Ni kukaa kwa muda tu lakini siyo kuweka makazi ya kudumu.
 
Sasa hivi ataanza kelele tena.atapokelewa km wakimbizi wengine kutoka Iran ,Syria na kwingineko,atafuata taaratibu zote za kikimbizi ikiwa ni pamoja na kulazwa kwenye MA camp.
Bora kuliko kutupwa Cocobeach.
 
Nao askari wakamwuliza, “Na sisi tufanye nini?” Naye akawajibu, “Msichukue vitu vya mtu yeyote kwa nguvu wala kumshtaki yeyote kwa uongo. Toshekeni na mishahara yenu.”
Luk.3.14
 
  • Thanks
Reactions: ibn
Wengi watakutwa na hali hiyo, vijana wengi wataanza kujiripua kwa maana taswira ya TZ kimataifa imeanza kuchafuka. watu wataendelea kubisha ila ukweli ndio huo
Wakati wa awamu ya tatu ya Mkapa wapemba walikimbilia UK wengi tu lakini hakuna walichosaidia kuiharibu nchi yetu! TZ iliendelea kug'aa tu. Wengine wapo mpaka leo wanabeba mabox na kuogesha vizee vya kizungu. Na huyo mwandishi baadae ataanza kubeba mabox na kuogesha vizee vya kizungu! Hapa kazi tu!!
 
Definition ya ukimbizi inaeleweka vizuri au...tunaandika tu ukimbizi.
Still Tanzania is the best place to live ever seen
Chadema ni human traffickers wanawajua wazungu wanakula pesa za watu wanawambia tumieni kisingizio hiki wazungu watawapa hifadhi ya ukimbizi mange kimambi pia ndicho anawinda apewe hadhi ya ukimbizi marekani,Vyama vya siasa vingine kama CUF na Chadema lengo lake kuu ni human trafficking through political window
Tabia mbaya sana hii. Kupeleka watu kuwa wakimbizi? Halafu imeanza awamu hii si ndio? Awamu iliyopita walikuwa na tabia ya kwenda ikulu tu na kunywa Chai.
 
We unafikiri wazungu maboya km nyie kwenye utekaji tu mnatofautiana kauli, wenzenu mpaka wamekubali kumpa ukimbizi wamefanya uchaguzi wa kutosha sana,sasa mnaonekana wauaji,no wonder mnaogopa kusafiri nje ya Africa
Kwa.miaka 30 watu waliishi maisha ya kuigiza, 1+1 walisema Ni 3 sasa president anasema lazima iwe mbili(2), hapo sasa. Wengi watalia sana kipindi hiki. Wataongea sana na visingizio kibao lakini ukweli uko palepale.
 
Na umri huo kukimbiq nchi Ni mateso sana, Tanzania is the best place to live asikwambiye MTU. Nenda kokote duniani lakini home is the best. Huyo atatamani kurudi baada ya mwaka Mmoja.ulaya, marekani Ni kukaa kwa muda tu lakini siyo kuweka makazi ya kudumu.
Try to use your common sense! Ameomba ukimbizi kwa sababu anataka kusalimisha maisha yake na si vingine! Best place to live wapi na wapi kwa mtu anayewindwa na bunduki auawe!
 
Na umri huo kukimbiq nchi Ni mateso sana, Tanzania is the best place to live asikwambiye MTU. Nenda kokote duniani lakini home is the best. Huyo atatamani kurudi baada ya mwaka Mmoja.ulaya, marekani Ni kukaa kwa muda tu lakini siyo kuweka makazi ya kudumu.
Kwako nisalama lakini kuna mwingine kwake so salama tena .lisu Mara ngapi alisema anafatiliwa ??nini kilimtokea ??je nasilu angefanya kama ngurumo yangemkuta haya ?usipende kuongea kwaushabikitu .salama salama wakati watu wanakufa .je yule dogo alopigwa risasi unaweza kuwambia wazazi wake kuna usalama .acha siku mamako akutwe narisasi zakichwa akiwa kwenye daladala ndo utakuja kuropoka hapa .
 
Back
Top Bottom