mzushi
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 3,094
- 4,252
Shule muhimu sana yaani wewe Ngumbaru umeambiwa mtu kakimbia kusalimisha maisha yake sasa huo utamu wa kuishi Bongo angeupata wapi kama angekuwa hana uhai.mijitu mingine ni kama michawi tuNa umri huo kukimbiq nchi Ni mateso sana, Tanzania is the best place to live asikwambiye MTU. Nenda kokote duniani lakini home is the best. Huyo atatamani kurudi baada ya mwaka Mmoja.ulaya, marekani Ni kukaa kwa muda tu lakini siyo kuweka makazi ya kudumu.