lelooo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2011
- 422
- 364
Kama hakikimbiwi mbona sizonje yeye anajilinda na mabunduki ya kumwaga na mashushushu wa kila aina wanamlinda?Atafuta Kiki kifo kinakimbiwa Toka lini,kinapofika ata ulipo kinakukuta sema kaenda kwenye masilahi zaid
Yeye ameona amekosa ulinzi na kuna watu wanamtishia kumuuwa huku akiwa anafatiliwa kila aendapo.
Mtishie sizonje kuwa atakufa kama hujafungwa achilia mbali kumfatilia