TANZIA Mwandishi Emmanuel Chacha wa ITV afariki dunia. Amefariki ghafla akiwa jijini Mwanza

TANZIA Mwandishi Emmanuel Chacha wa ITV afariki dunia. Amefariki ghafla akiwa jijini Mwanza

NCD ni noma sana ndugu zangu, mtu anaanguka ghafla mwingine anasema ngoja nijilaze kidogo ndio analal moja kwa moja. Tujitahidi sana kufanya mazoezi angalau hata mara 3 kwa week, hata kuruka kamba unatoka jasho unaoga inatosha.

Kutofanya mazoezi kbisa ni hatari sana kwa afya. Kingine pia tupunguze sana matumizi ya ma red meat, sukari, chumvi mbichi, mapombe pombe haya, soda, majuice ya viwandani, all kind of processed food, majuck food i.e. chips etc... anyway God forbid tutakwisha
 
NCD ni noma sana ndugu zangu, mtu anaanguka ghafla mwingine anasema ngoja nijilaze kidogo ndio analal moja kwa moja. Tujitahidi sana kufanya mazoezi angalau hata mara 3 kwa week, hata kuruka kamba unatoka jasho unaoga inatosha. Kutofanya mazoezi kbisa ni hatari sana kwa afya. Kingine pia tupunguze sana matumizi ya ma red meat, sukari, chumvi mbichi, mapombe pombe haya, soda, majuice ya viwandani, all kind of processed food, majuck food i.e. chips etc... anyway God forbid tutakwisha
Mkuu kikifika kimefika tu. Kikubwa nikufurahia zawadi ya uhai na afya madam ungali unayo.
 
Mkuu kikifika kimefika tu. Kikubwa nikufurahia zawadi ya uhai na afya madam ungali unayo.
Issue ni kupunguza risk mjomba, kwa nini ukikimbilie kifo wakati unaweza kikwepa at least for some time. Yaani ni kama vile uendeshe gari alafu hufuati kabisa tahadhari za barabarani, wewe taa nyekundu umevuka, overtake za kibwege, maspidi yasiyokuwa na mpango nakwambia hutoboi
 
Back
Top Bottom