Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,021
- 22,016
Jamani watu wanakufa kama kuku kideri.
Hebu turudi kwenye organic diet tulinde afya zetu.
R. I. P. Emmanuel Chacha
Kwa iyo ukitumia organic diet hutokufa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani watu wanakufa kama kuku kideri.
Hebu turudi kwenye organic diet tulinde afya zetu.
R. I. P. Emmanuel Chacha
February mpaka March ni hatari sana kwa Tanzia
Huu mwaka ufutwe tuanze upya,ila msimu wa vifo vya watu umefika.
Ni kawaida ya fb.Kuna mtu fb kaandika john chacha kumbe sio ni emmanuel
Mbona sasa Wewe hapa ndiyo unaonekana ni Mpiga Ramli na Mchawi pia?wapiga ramli watakuja, mara oh huu mwaka ivi, mwaka vile
Acha ligi mkuu,mbona jamaa kalezea vizuri tu,inasaidia angalau kupunguza risks,sio kwamba kwa kufanya mazoezi hutakufa...Kwa iyo ukitumia organic diet hutokufa?
Acha ligi mkuu,mbona jamaa kalezea vizuri tu,inasaidia angalau kupunguza risks,sio kwamba kwa kufanya mazoezi hutakufa...
Chupa nne za bia ni sawa na kufanya mazoezi ya kuruka.NCD ni noma sana ndugu zangu, mtu anaanguka ghafla mwingine anasema ngoja nijilaze kidogo ndio analal moja kwa moja. Tujitahidi sana kufanya mazoezi angalau hata mara 3 kwa week, hata kuruka kamba unatoka jasho unaoga inatosha.
Kutofanya mazoezi kbisa ni hatari sana kwa afya. Kingine pia tupunguze sana matumizi ya ma red meat, sukari, chumvi mbichi, mapombe pombe haya, soda, majuice ya viwandani, all kind of processed food, majuck food i.e. chips etc... anyway God forbid tutakwisha
wapiga ramli watakuja, mara oh huu mwaka ivi, mwaka vile
tayari dronedrakeDuh huu mwaka mbona umeanza vibaya sana leo hii tena dr mwele malecela kafariki
RIP to all of them
Kweli Kabisa daddy…Duh! watu tunatembea na kifo
👆Duh huu mwaka mbona umeanza vibaya sana leo hii tena dr mwele malecela kafariki
RIP to all of them
wapiga ramli watakuja, mara oh huu mwaka ivi, mwaka vile