TANZIA Mwandishi nguli wa Fasihi nchini, Edwin Semzaba afariki dunia

TANZIA Mwandishi nguli wa Fasihi nchini, Edwin Semzaba afariki dunia

RIP EDWIN. Poleni wafiwa wa aina zote. He was a good fellow.
 
RIP Edwin Semzaba. Nimesoma kazi zako nyingi. Nimejifunza mengi kupitia wewe!
 

Attachments

  • FB_IMG_1453062252256.jpg
    FB_IMG_1453062252256.jpg
    15.2 KB · Views: 52
Kwa wale Wana fasihi NA WANA UDSM TUMEPATWA NA MSIBA MKUBWA SANA LEO

EDWIN SEMZABA mwandishi wa kitabu maarufu cha Ngoswe penzi kitovu cha uzembe. Amefariki dunia leo.

Bwana ametoa na Bwana ametwaa. Jina la bwana lihimidiwe

R.I.P
 

Attachments

  • 1453094637960.jpg
    1453094637960.jpg
    15.3 KB · Views: 47
[QUOssolin5, post: 15117118, member: 286056"]R.i.p Semzaba, Wasalimie akina Elvis Musiba na Hamie Rajab[/QUOTE]
Rip mwandishi, umenikumbusha Hamie Rajabu na kitabu chake cha 'Sizitaki Pesa Zako Zinanuka'
 
Pumzika kwa amani, mfasihi semzeba
metutoka duniani, metangulia kwa baba
fasihi IPO gizani, umeandika Si haba
umetutoka Edwini, kifasihi u mzima
 
Alikuwa kwenye tamthilia za bongo movies hizi nishawahi kumuona.(MAP).
 
RIP Edwin!
Ngoswe penzi kitovu cha uzembe......enzi hizo sekondari
 
Apumzike kwa amani Nguli wa Kiswahili.
 
Back
Top Bottom