TANZIA Mwandishi nguli wa Fasihi nchini, Edwin Semzaba afariki dunia

TANZIA Mwandishi nguli wa Fasihi nchini, Edwin Semzaba afariki dunia

fantastic n bombastic,minyoosho kumbe bado inaendelea,mi nilizani season ilishakwisha,au ni season 2 hii?
 
zaidi ya hicho cha Ngoswe kuna kingine chochote alichoandika??
 
Taarifa rasmi zilizotufikia ni kwamba Mwandishi maarufu wa tamthilia na kitabu cha ‘Ngoswe, Penzi Kitovu cha Uzembe’, Edwin Semzaba amefariki dunia siku ya jana. Mbali na kuwa mwandishi maarufu, Semzaba alikuwa mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Pia, alikuwa mwenyekiti wa Umoja Wa Waandishi wa Vitabu Tanzania (UWAVITA). Semzaba ambaye...
 
RIP Edwin.

Ngoswe ni moja ya vitabu bora vya fasihi .

kawasalimie kina Ben R.Mtobwa,Elvis Musiba na manguli wengine waliotangulia kwa baba mwenyezi.
 
Marimba ya Majaliwa by Edwin Semzaba( Book )

3 editions published between 2008 and 2015 in Swahili and held by 16 WorldCat member libraries worldwide

A novel
Ngoswe : penzi kitovu cha uzembe by Edwin Semzaba( Book )

8 editions published between 1988 and 2006 in Swahili and Undetermined and held by 15 WorldCat member libraries worldwide

A play
Funke bugebuge by Edwin Semzaba( Book )

2 editions published between 1996 and 1999 in Swahili and held by 14 WorldCat member libraries worldwide

A novel
Tendehogo by Edwin Semzaba( Book )

4 editions published between 1980 and 1984 in Swahili and held by 12 WorldCat member libraries worldwide

Sofia wa Gongolamboto : mchezo by Edwin Semzaba( Book )

1 edition published in 1984 in Swahili and held by 5 WorldCat member libraries worldwide

Tausi wa alfajiri by Edwin Semzaba( Book )

2 editions published in 1996 in Swahili and held by 4 WorldCat member libraries worldwide

A novel
Mkokoteni by Edwin Semzaba( Book )

2 editions published in 1987 in Swahili and Undetermined and held by 3 WorldCat member libraries worldwide

A play
OSW 208 : tamthiliya ya kiswahili by Edwin Semzaba( Book )

Source: Semzaba, Edwin [WorldCat Identities]
 
Acha tu babu Ngoswe na ile 'WASIFU WA MPENZI WANGU' wallah sitasahau jinsi nilivyomsifia kipusa wangu mtoto wa Mwananyamala nilokutana nae Tandale,ana rangi ya kichuguu,MIE SISEMI KAKA
creative writtings...daah! ilijaa ubunifu mno! ntamkumbuka babu ngoswe kwa mengi sana. mojawapo aliwahi kunambia nitafte kiasi fulani cha pesa kidogo tu wala si kingi halafu atanishika mkono kunipeleka kwa publisher!
babu ngoswe na eskudo na vituko vyake....acha tu
 
Ntajitahidi walau nimuenz In shaa Allah kwa kuhakikisha hiyo SISI KWA SISI BASI inaingia sokoni,
 
creative writtings...daah! ilijaa ubunifu mno! ntamkumbuka babu ngoswe kwa mengi sana. mojawapo aliwahi kunambia nitafte kiasi fulani cha pesa kidogo tu wala si kingi halafu atanishika mkono kunipeleka kwa publisher!
babu ngoswe na eskudo na vituko vyake....acha tu
Vipi kitabu chako kimetoka
 
إنا لله وإنا إليه راجعون

Poleni sana ndugu jamaa na marafiki
 
endelea kupumzika kwa amani Dkt Edwin Semzaba uwepo wako tunaukumbuka.
 
Back
Top Bottom