Mwandishi Salman Rushdie avamiwa na kuchomwa kisu kwenye mhadhara, New York

Mwandishi Salman Rushdie avamiwa na kuchomwa kisu kwenye mhadhara, New York

Mungu wa kweli ni wa amani, kinyume cha hapo ni ushetani tu! Hukumu zote ziko Kwa Mungu na hakuna mwanadamu aliyepewa mamlaka hayo!
 
Mkuu hoja yako tumeisikia.....peponi human needs zitakuwepo kama kawaida kwasababu Sisi sio Malaika..
Allah mpaka kasema mwanaume unaenda kuchagua picha ya mtu wa kupigana nae machine tena picha za wanaume na wanawake mpaka mashoga Allah kawaruhusu
 
Asante Sana tumeisikia hoja yako....huu ndio upuuzi tunao zungumzia....wakati mwingine kukaa kimya ni Bora zaidi kwani watu hawatajua ujinga wako
Ndio tunayozungumzia
Mmeandika wenyewe mitume wote wenu ni waislamu , mmeandika wenyewe Musa alikimbiza jiwe akiwa uchi, mmeandika wenyewe Muhammad alituhumiwa kuiba chupi Aya ikashuka sio yeye ila ujinga ni kuwa Allah hakumtaja Alie iba chupi , mmeandika wenyewe Muhammad kaoa mtoto wa miaka 6

Ila mtu aki quote mnasema ameabdika upuuzi , mnajisahau upuuzi ni maandiko yenu 😂😂😂😂😂
 
Kama kuna Mwenyezi Mungu wawili basi kutakuwa na pepo ya waislamu na wakristo....kama ni mmoja basi pole Sana mkuu
Kuna Allah na Kuna Jehovah na Wana sehemu tofauti walizo ahidi

Allah , mito ya pombe , maini ya nyangumi, chai ya tangawizi , ndizi mbivu, wanawake matipwa tipwa , kochi , hema

Jehovah - kuwa kama Malaika hakuna human needs
 
Ndio tunayozungumzia
Mmeandika wenyewe mitume wote wenu ni waislamu , mmeandika wenyewe Musa alikimbiza jiwe akiwa uchi, mmeandika wenyewe Muhammad alituhumiwa kuiba chupi Aya ikashuka sio yeye ila ujinga ni kuwa Allah hakumtaja Alie iba chupi , mmeandika wenyewe Muhammad kaoa mtoto wa miaka 6

Ila mtu aki quote mnasema ameabdika upuuzi , mnajisahau upuuzi ni maandiko yenu 😂😂😂😂😂
Unajua kwanini nakupuuza kwakuwa hujui unachosema .....naomba ulete Aya juu ya hayo unayosema.....Kaka hizi sio level zako kwakuwa inaonekana unatunga mambo ili uamshe hasira za waislamu.....
 
Unajua kwanini nakupuuza kwakuwa hujui unachosema .....naomba ulete Aya juu ya hayo unayosema.....Kaka hizi sio level zako kwakuwa inaonekana unatunga mambo ili uamshe hasira za waislamu.....
Kasome maandiko yangu humu utakuta kila moja nimeweka nukuu , au nilete moja moja sema nianze na lipi nipo
 
Masha Allah....shukrani Kwa Hio video ambayo ni baadhi Tu ya Watu ambao waliona ukweli.
Hata hiko kitabu cha satanic nimekisoma hakina mantiki yeyote nilijua nitakutag fact za uhakika na zenye kufikirisha lakini hamna kitu bora hata cha Armstrong uongo wake unaweza kushawishi mtu dhaifu kiimani na asiyeisoma dini yake kwa uhakika akayumbishwa .
 
Hata hiko kitabu cha satanic nimekisoma hakina mantiki yeyote nilijua nitakutag fact za uhakika na zenye kufikirisha lakini hamna kitu bora hata cha Armstrong uongo wake unaweza kushawishi mtu dhaifu kiimani akayumbishwa .
Labda Uongee kuhusu hicho Cha Salman Rushdie hicho ni work of fiction lakini kuhusu Cha mwana Mama Kareen Armstrong kipo vizuri hakuna Uongo wowote pale
 
Labda Uongee kuhusu hicho Cha Salman Rushdie hicho ni work of fiction lakini kuhusu Cha mwana Mama Kareen Armstrong kipo vizuri hakuna Uongo wowote pale
Huyo mwana Mama atapewa sifa kwa kupika chai yake vizuri tu.

Kuna mdau humu anajiita Dumas the terrible alidai kwamba siku ya kujua jinsi Uislamu ulivyobuniwa na kanisa na yaliyokuwa nyuma ya pazia nitapigwa kitu kizito sana ,nikaampa kazi kama anajiamini aanzishe mjadala huru aweke evidence na uchambuzi wa hiko kitabu na mengineyo moja baada ya moja ili afichue ukweli na Waislamu tujue kwa sharti la kutoa ushirikiano wa maswali na hoja atakazo ulikuzwa lakini hakuweza mpk leo hakufanya hiyo Kazi.

Na wewe nakupa kazi hiyo Weka uzi unaohusu uchambuzi wa hoja za hicho kitabu tupate maarifa.
 
Back
Top Bottom