Mwandishi Salman Rushdie avamiwa na kuchomwa kisu kwenye mhadhara, New York

Mwandishi Salman Rushdie avamiwa na kuchomwa kisu kwenye mhadhara, New York

Cha msingi kwake ni kujihakikishia mito ya asali na maziwa inakuwa permanent baada ya kifo chake.

Hizi Dini zinaondoa kabisa akili za baadhi ya waumini wake.

Wanabaki kuwa na pumba tupu vichwani mwao.
Kwani angekuwa tu mtu mwema mcha Mungu asingepata hayo maziwa na asali baada ya kifo?Au ni mpaka utekeleze Jihad ndio uione Pepo?
Tatizo wanatiwa ndimu tokea wakiwa watoto wadogo,yaani unakuta kitoto Cha miaka 8 ila kina misimamo ya ajabu ajabu!
 
Wanao haribu waumini ni walimu wa dini.
Wanaweka hisia zao binafsi kwenye mafundisho ya dini.

Karne hii dunia inahitaji jamii iliyo staarabika.

Jamii inayoweza kutafakari na kutoa matokeo chanya kwa wanajamii.

Mafundisho yanayo leta mahusiano hasi ni ya kujiepusha nayo.
 
Hilo neno kuheshimu ndio silielewi na linanitatiza.
I simply don't care about your fairy tales.
Huna namna, kama upo huru ndani ya hii nchi inamaana unaheshimu na ww unaheshimiwa otherwise kuna jambo lisilopendeza lingeshakupata.
 
Huna namna, kama upo huru ndani ya hii nchi inamaana unaheshimu na ww unaheshimiwa otherwise kuna jambo lisilopendeza lingeshakupata.
Mkuu,Dunia haiwezi kuwa na watu wote waliostaarabika!Ndio maana Kila nchi Kuna magereza na polisi Kwa ajili ya Hilo kundi la watu wasiostaarabika!
Kwa kujua hilo ndio maana ukawekwa utaratibu wa kudeal na hao wasiostaarabika!
Kama ikitokea Kuna mtu amekutana au kukashifu Imani Yako basi sheria za nchi ziko wazi na Kuna sehemu ya kwenda Ili haki itendeke!
NB:Jamii haiwezi kuwa na watu wema tu,kamwe haiwezi kutokea!
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Hilo neno kuheshimu ndio silielewi na linanitatiza.
I simply don't care about your fairy tales.
Boss Yoda, No one care if your name is Yoda or Yona lakini unaheshimika sababu unalindwa na sheria za Jamhuri. Kama kuna mtu anadispise jina Yoda na anaamini ukiitwa hivyo unatakiwa kutukanwa hafanyi hivyo kama ww usivyojali kuhusu fairly tales lakini unaheshimu uhuru wa wenye tales zao either kwa kutaka mwenyewe au kwa kulazimishwa na sheria zetu. HILO TU NDILO UNALOTAKIWA KUFANYA MENGINE NI YA KWAKO HUKO HUKO ROHONI.

KUHESHIMU IMANI MAANA YAKE KUTOKUINGILIA UHURU WA MWINGINE KIIMANI HATA KAMA UNAONA NI UJINGA.
 
Mkuu,Dunia haiwezi kuwa na watu wote waliostaarabika!Ndio maana Kila nchi Kuna magereza na polisi Kwa ajili ya Hilo kundi la watu wasiostaarabika!
Kwa kujua hilo ndio maana ukawekwa utaratibu wa kudeal na hao wasiostaarabika!
Kama ikitokea Kuna mtu amekutana au kukashifu Imani Yako basi sheria za nchi ziko wazi na Kuna sehemu ya kwenda Ili haki itendeke!
NB:Jamii haiwezi kuwa na watu wema tu,kamwe haiwezi kutokea!
Yap, kabisa boss. Kama huwezi kuwa mwema kwa hiari unakuwa mwema kwa kushurutishwa na sheria.
 
Nimeona huko juu kuna jamaa analinganisha dini na Mama. Nimwambie tu aache ujinga, dini si lolote ukiilinganisha na mzazi. Mzazi ni dini tosha sababu ndio mtu pekee yupo kwa ajili ya kuona lililo bora,heri,salama kwa mwanae tena in real time. Ni Mungu wa duniani kweli.
 
Kwanini usingemquote huyo jamaa mkuu?
Au unaogopa fake IDs?
 
Nchi karibu zote zilizonyooka duniani ni zile zenye kiwango kidogo cha binadamu wenye dini, nchi nyingi zenye binadamu wengi wenye dini hasa ya msimamo mkali ni nchi zilizo na vurugu na mambo mengi shaghalabagala.
Karudie tena utafiti wako
 
Namalizia na Maneno ya Mtume Muhammad (rehma na Amani ziwe juu yake) alisema "Mwenye nguvu si Yule anayepigana Bali ni Yule anaye zuia hasira zake pale anapokasirika"
Neno zuri ila sasa haliendani na matendo ya yaliyomkuta mwanetu huko US. Kwa huyu mwandishi, mmezuia hasira pale mlipokasirika ama? Naheshimu sana imani za watu ila kwa hili la kuondoa uhai wa mtu kisa dini huwa linanitatiza sana. Mngemsomea Albadli ili Mungu ashughulike nae.
 
. bali ninachojali ni yeye kukashifu imani za watu.
Uislamu akiandika walicho andika wanasema umekashifu

Ndio unaona pale India Wana mmind yule mama aliesema Muhammad alioa mtoto,
Na maandiko yao yapo wazi kabisa Muhammad kaoa mtoto Yani muhammad alikuwa child molester
 
Mtume Muhammad ( rehma na Amani ziwe juu yake) ndio Mtume wa mwisho na ndiye aliye kamilisha ujumbe wa Mwenyezi Mungu...kumkataa kwako wewe hakubadilishi ukweli wa mambo....kwahiyo kuwa na amani Tu.

Yesu alisema nadhani katika John 17...kama nimekosea naomba radhi...alisema itabidi Mimi niondoke kwani nisipoondoka huyo mwingine hatoweza kuja....na kuna kifungu kingine alisema huyo ajaye atawaeleza kweli yote kuhusiana na hukumu na Sheria....lkn bht mbaya ikasemwa kuwa atayekuja ni roho mtakatifu kitu ambacho si kweli...Yesu alikuwa ni mwili na sio spirit kwahiyo hata huyo aliyemuelezea lazima atakuwa mwili Kwa maana binadamu kama yeye,ambaye angekuwa kueleza kweli yote.

Je roho mtakatifu wako wangapi? Mbona kila mtu anasema ana roho mtakatifu? Na mbona kila mwenye roho mtakatifu anakuwa na maono yake? Na je roho mtakatifu wenu amekuelezeni khs hukumu na Sheria kama alivyoeleza Yesu?
[/QUOTE]
😂😂😂😂 duniani kuna vituko sana.
 
Uislamu akiandika walicho andika wanasema umekashifu

Ndio unaona pale India Wana mmind yule mama aliesema Muhammad alioa mtoto,
Na maandiko yao yapo wazi kabisa Muhammad kaoa mtoto Yani muhammad alikuwa child molester
Dini ya nani ni perfect ya kwako?
 
Na Mimi sijali kilichompata huyo aliyekashifu dini kwani hakinipi faida Wala hasara!
Ninachojali ni hatma ya kijana wa miaka 24 aliyeamua kukatisha ndoto za maisha yake na wanaomtegemea for nothing!
Miaka 24 unaenda kuua lenye miaka 70+ for what? Miaka 70+ lishaifaidi dunia, ww na 24 yako unaenda kusota gerezani kwa vitu vya kufikirika hv.
 
Back
Top Bottom