Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,179
- 26,188
Kwani angekuwa tu mtu mwema mcha Mungu asingepata hayo maziwa na asali baada ya kifo?Au ni mpaka utekeleze Jihad ndio uione Pepo?Cha msingi kwake ni kujihakikishia mito ya asali na maziwa inakuwa permanent baada ya kifo chake.
Hizi Dini zinaondoa kabisa akili za baadhi ya waumini wake.
Wanabaki kuwa na pumba tupu vichwani mwao.
Tatizo wanatiwa ndimu tokea wakiwa watoto wadogo,yaani unakuta kitoto Cha miaka 8 ila kina misimamo ya ajabu ajabu!