Andrew Tate
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 4,503
- 6,861
Nani mwenye hizo hoja, ni wewe? sasa mbona unakimbia kiswali chepesi ambacho hata mtoto wa darasa la pili anaweza kujibu kiufasaha kabisa.Uwepo wa "mungu"??!
Una matatizo ya ufahamu kijana
Na umesema ninataka kumuua mtu, sasa usinilishe maneno bali niambie ni wapi nimesema nataka kumuua huyo author..?
huyo aliyetoa hiyo fatwa ni nani katika uislamu? Kiasi kwamba hata kama ni mfuasi then utakuwa unahusika moja kwa moja na hilo tangazo? kama sio hivyo.
Je mimi nahusika vipi moja kwa moja na hilo tangazo la fatwa?
Jibu hilo swali usiniletee kiranga cha bikra.