TANZIA Mwandishi Wa Habari, Vedasto Msungu afariki dunia

Kuna vigogo wengi sana hali zao ni mbaya sana hapo Muhimbili wanawekewa mitungi miwilimiwili,nakuhakikishia kuwa bado kidogo sana tutakubali kuwa Corona ni tatizo!
Kabisa mkuu hapa lugalo ni shida kiongozi
 
Moja kati ya maripota wakongwe sana


Poleni ITV na wafiwa

We surely belong to Allah and to Him we shall return
 
Sawa watu wanakufa kila siku lakini this time duh...
This time ni kua watu wameamua kua wanatoa taarifa ya kila kifo, mwisho wa siku watu wanahusisha na ugonjwa uliopo... hata kabla ya corona vifo vilikua vingi tu at the very same rate!, ila watu hawakua wanachangamkia kueneza habari kama saivi!, Imagine ndugu yangu ww mwana jf ukifa saivi taarifa yako kila mtu anaishare, hata kama ulikufa a natural death!..
 
Nikilipoti matukio Mimi ni vedasto MSUNGU itv morogoro
 
Kuna mwamba COSMAS MAKONGOO
 
Samahani mkuu, naomba unitafutie kauli ya mh. raisi au washirika wake akisema Corona haipo Tanzania!.
 
Mwana habari wa ITV Vedatus Msungu amefariki leo hii jioni mjini Morogoro.

Alikuwa amelazwa ktk Hospitali ya mkoa na sasa hatunaye tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…