Mwandishi wa habari wa Al Jazeera, Shireen Abu Akleh auawa akiwa katika majukumu yake ya kazi

Mwandishi wa habari wa Al Jazeera, Shireen Abu Akleh auawa akiwa katika majukumu yake ya kazi

usiporuhusu ndo mungu hatojuwa au unahsi unamzidi mungu akili ? unafiki ni dhambi kubwa sana
Mnafiki ni wewe unaefurahia kumwagana urojo wanaume kwa wanaume,
Hivi kweli mwandishi tena mwanamke anauwawa akiwa kazini halafu unafurahia?
Kisa tu ni mwarabu?
Hao unaowakumbatia si ndio wanamwita mungu wako mtoto wa zinaa?
We acha tu siku nikalikuta bwabwa lao lutanikoma yaani nitalimwaga urojo mpaka nisike ha haha lele...
 
me sivai kanzu mkuu , as simple as kunyanyua kanz , mbengenyeeee
 
uhai muhimu , acha kuwa mpuuz , huyo mama familia yale baada ya msiba inabakia.kupambana na hali yao kwa ujinga wa mama yao kujali udaku dhidi ya uhai
Acha ubwege wewe boya huo ni udaku au ni wajibu wa kazi yake, halfu aljazeera wamempangia akaripoti pale au amejipangia mwenyewe?
Unaonyesha wazi chuki ulizonazo dhidi waislamu
 
me sivai kanzu mkuu , as simple as kunyanyua kanz , mbengenyeeee
Urojo mchuzi mix,
Maaskofu wanavaa vazi very simple
Fasta tu anabon'goa na mtarimbo umo ndani
Haleluya kwa wingiiiii
Endeleni kufirana tu na dini yenu ya mchongo
 
wayaudi walirudi kuishi wala sio kupora ardhi ila wapalestine ndo hawakuwa tyr kuwapokea wenzao wakaanza figisu , na hizo figisu ndo zinawala sasa hv
Waliporudi walipokelewa vizuri tu na Palestina ilikuwa chini ya Mwingereza. Ila walirudi na itikadi ya Zionism ambayo siyo tu inasema kuwa Uyahudi ni dini bali ni utaifa. Jinsi walivyoongezeka ndivyo tension iliongezeka hadi hao Waingereza wakaanza kuwalimit wasiendelee kurudi.
 
Sjku nikipata nguvh ya juwatawala hawawazhngu weusi kumamamammaye
Yaani watajuta kuzaliwa hawa mabwege
 
walifikaje ulaya , nyinyi pia mliwaua mkawafukuza kutoka kwenye ardhi yao , ss hv mnajisahau na kujifanya ardhi ishakuwa yenu
Kweli wewe unafurahisha, wayahudi walikimbia kipindi cha utawala wa Warumi na walasambaa huko Ulaya na bado wakauawa na Wakristo wakidai kuwa wao ndio walimuua Yesu. Hivyo vita vya Msalaba pia vimehusika kuwaua Wayahudi
 
wayaudi walifukuzwa na waarabu baada ya kulazimishwa kutoabudu hadharani pia ikawa ni mateso kuwa sio muislamu na hapo ndo walizaliwa wayaudi waislamu ambao walikubali kubakia hapo.mashariki ya kati ila wenzao wakaondoka kutawanyika duniani
Lete ushahidi ni lini? Wayahudi walianza kuondoka hapo 135 CE baada ya Warumi kuharibu mji wa Judea na kuubadili jina wakauita Palestina. Lengo la Warumi ilikuwa ni kuondoa historia kabisa ya Wayahudi pale Jerusalem.
Kama kupigana vita baina ya madhehebu zimepiganwa sana zama hizo. Kwani Ukristo umeua watu wangapi ambao hawakuwa tayari kuamini katika imani hiyo?
 
bwana MALIGHAFI huyo mkuu karudia nlichokuhasa kuwa acha kuruka ruka , hao watu wa rangi hawakujali wala kukuthamini ebu tujadili kwa misingi ya ukweli na uwazi
Nimekwambia ebu quote nilichoandika uongo useme ukweli ni huu.
 
Bwana MALIGHAFI ww ni muongo unanyofoa foa sana historia ili kujifurahisha nafsi yako na unakwepa kujibu maswali muhimu
Leta historia ya kweli, na mimi historia niliyokupa imeanza kali hata kuliko yako.
 
kukutanua uelewa bwana MALIGHAFI
Unawezaje mwelewesha mtu wakati unamquote pasipo kusema unachodai ni ukweli? Ni kwamba huna cha kuandika kwasababu hujui. Ndicho anachofanya mwenzako huyo
 
Urojo mchuzi mix,
Maaskofu wanavaa vazi very simple
Fasta tu anabon'goa na mtarimbo umo ndani
Haleluya kwa wingiiiii
Endeleni kufirana tu na dini yenu ya mchongo
Padre habong'oi mkuu , nyie endelea kuinama
 
Kweli wewe unafurahisha, wayahudi walikimbia kipindi cha utawala wa Warumi na walasambaa huko Ulaya na bado wakauawa na Wakristo wakidai kuwa wao ndio walimuua Yesu. Hivyo vita vya Msalaba pia vimehusika kuwaua Wayahudi
unajuwa warumi walifikaj hapo ? soma historia vizur bwana MALIGHAFI , usitafute panapokuvutia , First Red Cross waarabu walishindwa vita baada ya Wayaudi kuomba msaada kutoka ulaya , ila warumi hawakuondoka happ baada ya ushindi hivyo wakatawala kwa miaka mpk waarabu walipowashawishi wayaudi kuwa waungane kumtoa mkoloni huyo wa mashariki ya kati basi wayaudi walishawishiwa na viahahdi vya waarabu ila baada ya 2nd red cross war , Waarabu walishinda vita dhidi ya warumi ila cha ajabu Waarabu hawakutimiza chochote na kupelekea kukandamiza kbs jamii ya wayaudi pamoja na imani yao , wayaudi walizuiliwa kuabudu hadharani wala waislamu waliuliwa wale waliofuata imani za wayaudi pia haikuruhusiwa kuoana baina ya mwislamu na myaudi ( hukumu ilikuwa kifo ) pia wayaudi walikadhamizwa na kufanywa daraja la mwisho kbs , hatimaye wayaudi wakaanza kuondoka kusambaa duniani na waliobakia hawakuwa na budi kuwa waislamu
 
Umetwist, Dola ya Rumi ndiyo iliharibu mji wa Judea ikawahenyesha Wayahudi na kuwafukuza na kisha kubadili jina na kupaita Palestina. Wayahudi wakaanza tapakaa kote huko na bado waliendelea teswa.
Tukubaliane kutokubaliana maana mimi na wewe hatuwezi kukubaliana.
 
soma nlichoandika hlf nkuulize Utawala wa Urumi uliangushwa na nan hapo Palestine ?
 
soma nlichoandika hlf nkuulize Utawala wa Urumi uliangushwa na nan hapo Palestine ?
Kasome the Bar-kochna revolt ambapo ni vita ya mwisho waliopigana Jews na Romans. Hii ndio vita iliofanya jews wengi wauawe, wengine wawe watumwa na wengi wakimbie Jerusalem. Na hapa ndipo Warumi kuwakomoa Judea wakaibadili jina na kuiita palestina. Hii vita imepiganwa kuanzia 132 mpaka 136 BCE. Na baada ya hii vita Roman empire iliwawekea sheria kali na kila walikoenda walipata tabu sana.
Hivyo ndio maana nakwambia wakati Warumi wanaangushwa hawa Jews walikuwa washakimbia na kutapakaa na hawakuwahi kuregain hilo eneo mpaka baada ya Zionist movement.

Ona sehemu inasema hivi na baada ya hii

The war shattered Judean society and led to far-reaching demographic and political changes, with the majority of the Jewish population of the province killed, enslaved, or exiled, and their national hopes definitively crushed. The Jewish people would not regain their political independence until the Zionist era and the establishment of the State of Israel in 1948 CE.
 
Ili mradi ujustify tu.
Ikiwa Ukraine basi kelele. Some people are more humans than others.

Angalia hii ramani, tena hiyo mwaka 1947 Israel walisaini mkataba wa kukubali hiyo ramani lakini ona leo wamechekua eneo lote na hata hayo makambi wanayataka.

Lakini husikii mkipiga kelele

View attachment 2220316
Lakini unasahau kuwa baada ya Israel kusaini mataifa ya kiarabu yaligoma na kutangaza vita na Israel,vita ikapigwa ndipo Israel ikateka maeneo zaidi!
 
Hivi angepigwa mwandishi wa habari wa CNN na vikosi vya Russia kule Ukraine,nini kingetokea?

Hapa inalaumiwa Al-Jazeera Kwanini wamepeleka waandishi vitani lkn Kwa mahaba yetu endapo angekufa mwandishi mzungu,dunia mzima ingelaani Russia..

Dunia haina usawa kabisa
Sahii kabisa,
Na UN wako kimya Kama hamna kilichotokea[emoji3525]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom