let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 3,699
- 8,857
Kabla ya yote jiulize nini kilipelekea nisifanye haya unayonita niyafanye pindi nilipoona andishi lako kwa mara ya kwanza.Lete ya kwako, na piga nilipodanganya. Quote nilikodanganya useme hapa umedanganya ilikuwa hivi.
Sasa nijiulize nini wakati mimi sio wewe? We onyesha nilipodanganya au kupotosha kama huwezi kufanya hivyo basi ungeendelea kaa kimya kama mwanzo maana mpaka sasa hujaeleza chochoteKabla ya yote jiulize nini kilipelekea nisifanye haya unayonita niyafanye pindi nilipoona andishi lako kwa mara ya kwanza.
Then ukiipata hiyo sababu ifanye kuwa jibu langu dhidi ya hitaji lako.
Kujiuliza si Mari yangu binafsi hata wewe useme uwezi jiuliza, Abi?.Sasa nijiulize nini wakati mimi sio wewe? We onyesha nilipodanganya au kupotosha kama huwezi kufanya hivyo basi ungeendelea kaa kimya kama mwanzo maana mpaka sasa hujaeleza chochote
Sasa ulikuwa na haja gani ya kuniquote kama hukutaka changia maana bado ulichofanya hakina maanaKujiuliza si Mari yangu binafsi hata wewe useme uwezi jiuliza, Abi?.
Then nimesema kuwa, sababu iliyonifanya nisijibu/changia chochote pale nilipoona uzi wako kwa mara ya kwanza ndiyo sababu hiyo hiyo inanifanya nisifanye iki unachonitaka nifanye sasa.
Na zaidi huo uzi wako nimeuingiza kama mfano tu na wala si sehemu ya mada.
Yah Man,Muwamba Ngoma..Hizo chuki zote za kidini wala hamna kingine,kila mtu anavutia kwake
Chief, uko sawa kweli?.Sasa ulikuwa na haja gani ya kuniquote kama hukutaka changia maana bado ulichofanya hakina maana
kaangalie habari , wanakwambia kuwa askari wa Israel walimuona ila wakashoot ( kwa mujibu wa wavaa kobaz wenzio ) , ss jiulize watu wapo kwenye mtanange kihelehele cha nini kujiweka front ? bila guardUlikuwepo mkuu? Tuachane nayo maana unaelekea kwenye matusi
wayaudi walirudi kuishi wala sio kupora ardhi ila wapalestine ndo hawakuwa tyr kuwapokea wenzao wakaanza figisu , na hizo figisu ndo zinawala sasa hvNgoja wewe ndo nikuelezee labda hujui.
Utawala wa kirumi ndio uliwaondoa Wayahudi kutoka Yudea ambayo ndio Yerusalem mwaka 135 CE na kuubadili jina kuuita Palestina. Zingatia mwaka hapo ni muhimu.
Baada ya hapo Warumi walisambaa maeneo mbalimbali ambayo yalikuwa chini ya utawala wa Kirumi ambayo ni Ulaya ya leo.
Umetaja vita ya msalaba ya karne ya 11, hiyo vita wayahudi waliuawa sana na wapigania Kristo kwa madai kuwa wao ndio chanzo cha kifo cha yesu.
Karne ya 14 pia wakauawa sana kwamba wao ndo chanzo cha black deaths.
Na muda wote huo walikuwa Ulaya.
Sasa sujui unaposema vita ya msalaba una maana gani maama wameuawa na crusaders.
Sasa turudi kwenye swali moja. Natives wa america ni red Indiana, kama wazungu wa kwanza kufika america wamefika mwaka 1565, na leo wanaimiliki Amerika wahindi weusi hawadai ardhi yao, iweje watu waliondoka hapo mwaka 135 CE (Yani zamani zaidi) warudi baada ya mamia ya miaka kudai ardhi?
Kila saa ninakuuliza awali dogo, na narudia tena.
Hivi inawezekana Wangoni leo hii warudi Afrika Kusini waende kwenye enewo walilofukuzwa na Shaka Zulu, waseme hili eneo lilikuwa la kwetu, tumerudu kulichukua, na dunia iwaunge mkono kuchukua hilo eneo? Inawezekana kweli?
Kama haiwezekani hilo kwa wengine, ni kwanini iwe tu kwa Jews?
walifikaje ulaya , nyinyi pia mliwaua mkawafukuza kutoka kwenye ardhi yao , ss hv mnajisahau na kujifanya ardhi ishakuwa yenuKila kitu kingekuwa kinaamuliwa kwa misingi ya imaani, basi bila shaka dunia nzima watu wangeuana. Hao wayahudi wameuawa kwenye karne 11 wakati ya vita vya msalaba huko ulaya kwa msingi wa kwamba walimuua Yesu. Hitler siye tu alieanaza kuwaua.
Wapigania Kristo (crusaders) wamewaua sana kwa msingi kuwa walimuua Yesu.
Na hapo walikuwa wametapakaa Ulaya baada ya kufukuzwa na dola ya Kirumi huko Jerusalem kuanzia mwaka 135 CE.
Karne ya 14, wakaanza kuuawa tena kuwa wao ndio chanzo cha black deaths.
Ndio maana nakwambia kama kila mtu ataamua kumhukumu mwenzake kwa imani ya dini yake basi kuna imani zinazoona jamii flani haitakiwi kuishi.
aminaaaaaHiyo ndiyo shida kwani huoni hata akina Isis, Al Qaeda, Al Shabab, Boko Haram nk wanavyoua wale wenye imani inayotofautiana na ya kwao.
wayaudi walifukuzwa na waarabu baada ya kulazimishwa kutoabudu hadharani pia ikawa ni mateso kuwa sio muislamu na hapo ndo walizaliwa wayaudi waislamu ambao walikubali kubakia hapo.mashariki ya kati ila wenzao wakaondoka kutawanyika dunianiShida ndio hapo hapo. Waliowafukuza hapo in the first place ni hao hao wenye hiyo imani, na bado kokote walipoenda huko ulaya walikuwa wanauawa kwa msingi wa hiyo hiyo imani kuwa walimuua Yesu.
Lakini mbona ilifika kipindi wenye hiyo hiyo imani wakarudi kwenye senses zao, na kuacha kuwaua kwa msingi kwamba maandiko yanasema walimuua Yesu?
waisrael waliletwa kuish na wapalestine kama tulivyowapokea waarabu huku afrika na tukawachia afrika ya kaskazini , ila wao wapalestine hawakutaka kabisa uwepo wa hao jamaa kwenye huo ukanda basi ili Israel.hajihakikishie usalama lazima awashushie wapalestine kitu kizito wakiugulia wakipoa wanarudi tena , Israel anashusha kitu kizitoAtleast hayo yametambulika kuwa ni makunda ya Kigaidi yanakuwa condemned kwa kile yanachokifanya. Sasa nchi inaua, inayanganya ardi ya minorities wasiokuwa hata na nguvu ya kujitetea. Halafu dunia inashingilia. Kelele zinazopigwa Ukraine, zilibido zipigwe pia kwa kinachoendelea pale Palestina.
usiporuhusu ndo mungu hatojuwa au unahsi unamzidi mungu akili ? unafiki ni dhambi kubwa sanaTatizo sio kufanyika, tatizo ni kuruhusiwa na dini yenu,
Wewe dini inaruhusu kuliwa kiboga na kumwagawa uharo halafu unafuata tu kama kondoo
ila waarabu ni watu wazur ambao hata leo huez kwenda kwao unawazia huko kwa watu wabaya ( ulaya )Mchezo wa wazungu umewakolea weusi wa kwetu basi wanatetea hadi mishipa ya shingo inataka kupasuka,
Wazungu si watu wazuri,
Kweli shetani kawazidi nguvu
uhai muhimu , acha kuwa mpuuz , huyo mama familia yale baada ya msiba inabakia.kupambana na hali yao kwa ujinga wa mama yao kujali udaku dhidi ya uhaiNdio kawaida yenu mashoga kuwa sura mbili
mbona yupo mwandishi kafa huko ukraine., nyinyi walalamikaji hata kwenye vitu visivyo na msingiKuna Mataahira hapa mafuasi ya wazungu yenye akili za kichoko kwasababu ni mwarabu kauwawa watasema gaidi, lakin ingekuwa mzungu wa BBC au CNN yangetokwa puvu la hatari
bwana MALIGHAFI huyo mkuu karudia nlichokuhasa kuwa acha kuruka ruka , hao watu wa rangi hawakujali wala kukuthamini ebu tujadili kwa misingi ya ukweli na uwaziLete ya kwako, na piga nilipodanganya. Quote nilikodanganya useme hapa umedanganya ilikuwa hivi.
Bwana MALIGHAFI ww ni muongo unanyofoa foa sana historia ili kujifurahisha nafsi yako na unakwepa kujibu maswali muhimuSasa nijiulize nini wakati mimi sio wewe? We onyesha nilipodanganya au kupotosha kama huwezi kufanya hivyo basi ungeendelea kaa kimya kama mwanzo maana mpaka sasa hujaeleza chochote