Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,551
- 2,153
Naomba tupumzike wote.
Vitu vingine ni kukaa kimya tu, ndiyo maana hata Mfalme Solomon aliliona hiloHuyu mwandishi ni katika wale wachache waliokuwa wanahoji maswali mazuri sana ktk press conference.
Nadhani weledi wake wa kufanya kazi ya uandishi ndiyo umesababisha aonekane 'mpinzani'.