Barua ya kufukuzwa ameandikiwa tarehe 20 wakati hotuba ya Magufuli ametoa tarehe 23 kwa maana hiyo huyu jamaa kufukuzwa sio kwasababu ya kujudge hotuba ya Magufuli Bali kutakuwa na sababu nyingine tofauti na hiyo.Aisee yaani mtu anafukuzwa kazi kwa sababu hiyo ?Yaani Trump na Macron wanavyoyukanwa na wapiga kura wao,Magufuli ndo angekuwa wao angekufa kwa pressure.