Barua ya kufukuzwa ameandikiwa tarehe 20 wakati hotuba ya Magufuli ametoa tarehe 23 kwa maana hiyo huyu jamaa kufukuzwa sio kwasababu ya kujudge hotuba ya Magufuli Bali kutakuwa na sababu nyingine tofauti na hiyo.Aisee yaani mtu anafukuzwa kazi kwa sababu hiyo ?Yaani Trump na Macron wanavyoyukanwa na wapiga kura wao,Magufuli ndo angekuwa wao angekufa kwa pressure.
Angalia barua ya kufukuzwa kazi ni ya tarehe ngapi na Rais aliongea tarehe ngapi, tatizo tumekuwa wambea mno hadi tunashindwa kufanya analysis...!!!!Aisee yaani mtu anafukuzwa kazi kwa sababu hiyo ?Yaani Trump na Macron wanavyoyukanwa na wapiga kura wao,Magufuli ndo angekuwa wao angekufa kwa pressure.
Mzee baba naona umeingizwa chaka na mtoa mada barua ya kufukuzwa kazi alipewa na mwajiri wake ni ya tarehe 20 before ya hotuba ya Magufuli ambayo imefanyika tarehe 23Twitter ni ukurasa binafsi siyo wa Citizen na hayo maoni ni haki yake binafsi hayahusiani na ajira yake. Aende mahakamani ili apate Bingo yake na kufanya mwajiri ajue tofauti ya kazi na binafsi.
Aisee yaani mtu anafukuzwa kazi kwa sababu hiyo ?Yaani Trump na Macron wanavyoyukanwa na wapiga kura wao,Magufuli ndo angekuwa wao angekufa kwa pressure.
Huyu alikuwa ni contributor
Hakuwa ameajjiriwa na gazeti hilo bali alikuwa ni contributor' wa habari.Twitter ni ukurasa binafsi siyo wa Citizen na hayo maoni ni haki yake binafsi hayahusiani na ajira yake. Aende mahakamani ili apate Bingo yake na kufanya mwajiri ajue tofauti ya kazi na binafsi.
Mwandishi wa habari wa nchi jirani kumwambia rais wa nchi nyingine kwamba watu wake wakifa yeye awe responsible
Sifa anazopewa Hassan Abas watu wajiandae tu kulimia meno. Huyu jamaa ni ana misifa sijawahi kuona!Aisee yaani mtu anafukuzwa kazi kwa sababu hiyo ?Yaani Trump na Macron wanavyoyukanwa na wapiga kura wao,Magufuli ndo angekuwa wao angekufa kwa pressure.
Tumia akili, maoni hayo hayako kwenye gazeti la Citizen ni maoni binafsi toka nyumba ni kwake, ofisi haihusiki na mambo binafsi ya mtaani vinginevyo nitakuja fukuza mfanyakazi kwa kutompa ujauzito mkewe.I hope he expected such a back lash..for it is inconceivable for an upcoming and promising stringer to file such an abusive and derogatory statement against the president and expect to go scot - free!
Hiyo notice ya lini na hotuba ya rais ilikuwa lini?
Abbas kapewa sifa zipi ?Nimepitwa mengi aisee.Sifa anazopewa Hassan Abas watu wajiandae tu kulimia meno. Huyu jamaa ni ana misifa sijawahi kuona!
Siku hizi wazee wa kazi wamekuwa na huruma. Enzi za mwl angekuwa ameshadakwa. Huu ni uchochezi kabisa.Bado kijana!
ππππππOkay, na hapo asubiri kesi ya uhujumu uchumi
Na kufunguliwa kesi ya uhujumu uchumiNi Afrika tu utaona haya mambo kiongozi akikosolewa mtu anafukuzwa kazi tena anaweza pewa ban ya life time asiajiliwe kokote kule maisha yake yote.
Juzi Trump kawa cruched life na Dr wa maradhi ya kuambukiza. Trump alisema Chloroquine ni dawa iliyodhibitishwa. Basi ikafika zamu ya Dr Antony Fauci kuongea. Akasema live Chloroquine bado haijadhibitishwa kisayansi. Trump alibaki anatikisa kichwa tu.Angepata hormonal imbalance..
Mzee huyo ni mbongo, mwandishi wa The Citizen, anakuwaga kwenye press mbalimbali na kuuliza maswali magumu tu kama humjui kuna mtu kaweka video yake kwenye post za nyumaKidiplomasia wapo sahihi kwa 100%
Mwandishi wa habari wa nchi jirani kumwambia rais wa nchi nyingine kwamba watu wake wakifa yeye awe responsible
Sio kitendo cha uungwana hata kidogo na sio profissionalism ya kazi anayoifanya
Anataka kuingiza nchi yake na Tanzania Kwenye Mgogoro wa kidiplomasia usio na msingi
Angekuwa mwandishi wa ndani ya tanzania ingekuwa sahihi 100%
Ni sawa usemavyo lakini mwajiri anaweza pia akaibakideti barua ili ajinasue kwenye uonevu, hili nalo hufanyika, hapa tujue alipewa lini hiyo barua.Mzee baba naona umeingizwa chaka na mtoa mada barua ya kufukuzwa kazi alipewa na mwajiri wake ni ya tarehe 20 before ya hotuba ya Magufuli ambayo imefanyika tarehe 23