42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,833
- 8,853
Hiyo barua unaweza kuandika ukaweka tarehe yoyote.
Kama mtu akituletea tweet ya watu wa kampuni ya mwananchi ikionesha tar 20 ndio jamaa alifukuzwa kazi inaweza kuaminika zaidi.
Kama mtu akituletea tweet ya watu wa kampuni ya mwananchi ikionesha tar 20 ndio jamaa alifukuzwa kazi inaweza kuaminika zaidi.
Inawezekana ni sababu nyingine,jamaa kapost trh 22 kafukuzwa trh 20 ???
Sent using Jamii Forums mobile app