Mwandishi wa Habari wa The Citizen afukuzwa kazi. Kaponzwa na Maoni yake katika mitandao ya kijamii?

Mwanachi ni kampuni ya nchi nyingine? Au ulivoona citizen ukajua ni citizen television?
 
20 ilikuwa Ijumaa, na yeye katoa maoni yake 22 Jumapili.

Wanaweza kuwa wamefanya consideration ya siku ya kazi ya wiki ambapo kosa lililomwachisha kazi limefanyika.

Cha kujiuliza, tangazo limetoka lini?
Hapo kwenye tangazo limetoka lini? ndio tunatakiwa kuangalia...
 
Sio relevant na ishu aliyoandika tweeter huyu kijana.
 
Naomba kukuuliza mkuu; hiyo barua ya January mtu anayopokea mwezi wa tatu,ilifaa huyo mtu aipokee mwezi wa kwanza au inakuwaje?

Kuhusu nyongeza za mishahara kwa mfano, inasubiriwa Audited Financials eg za 31 Dec za mwaka unaoisha.

Kwa hiyo zikishatoka, board inakaa inaamua kwa faida tuliyotengeneza mwaka huu, tunawaongezea wafanyakazi kiasi fulani kwenye mshahara, na hii inaanzia mwanzo wa mwaka (kutegemeana na policy za kampuni husika).

Kwa hiyo, ukiipokea March, na iko effective kuanzia January unalipwa arrears (bakaa) za Jan na Feb.

Hata kwenye adhabu pia inakuwa hivyo, mfano TRA wanafanya audit leo, wanakupa adhabu ya fine inayoanzia miaka kadhaa nyuma.
 
Barua ya kufukuzwa ameandikiwa tarehe 20 wakati hotuba ya Magufuli ametoa tarehe 23 kwa maana hiyo huyu jamaa kufukuzwa sio kwasababu ya kujudge hotuba ya Magufuli Bali kutakuwa na sababu nyingine tofauti na hiyo.
Hivi wewe huwezi kuandika statement leo ukapachika tar ya mwezi wa pili?
 
Zanzibar chukueni nchi yenu mtembee... Mnambwelambwela tu.
 
Huyu jamaa anaingia katika MASHAHIDI NA MASHUJAA WA TANZANIA.
Historia itamkumbuka, kasema ukweli , Muda muafaka wa kusussia magazeti ya mwananchi ndio huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…