Mwandishi wa Habari wa The Citizen afukuzwa kazi. Kaponzwa na Maoni yake katika mitandao ya kijamii?

I hope he expected such a back lash..for it is inconceivable for an upcoming and promising stringer to file such an abusive and derogatory statement against the president and expect to go scot - free!
On behalf of JF users, could you show us the abusive language? Since when is critique an abusive act?

By the way Is it a crime to air your views pertaining Mr president? Is he perfect? Let's not exaggerate issues here

The president is John Magufuli who is a human being thus criticizing him is a way of proving his humanity

Mr president ain't a saint for christ sake!!
 
Na sisi wadau na wana JF wote tuigomee Mwananchi communication's LTD kununua Magazeti yao yote,pamoja na bidhaa zote zenye uhusiano na kampuni hiyo.ndiyo iwe dawa yao.
Hii thread ni ya uongo, ingetakiwa ifungwe mapema tu baada ya kugundua tofauti za tarehe na mtiririko wa matukio
 
Sifa anazopewa Hassan Abas watu wajiandae tu kulimia meno. Huyu jamaa ni ana misifa sijawahi kuona!
Abbas anajikuta mjuaji wa kila kitu anajikuta bishoo kumbe pumba tu
 

Kuna mdau hapo juu kaweka screenshot ya Tweet kutoka Mwananchi, tangazo limetoka leo tar 23 March 2020.

Binafsi nachukulia hilo swala katika mtazamo huu hapa chini:

- Katika kujisafisha na Mwananchi asigombane na kina Abbas, imebidi watoe tamko hilo kwamba kuanzia hiyo tar 20 jamaa hakuwa mfanyakazi, kwa hiyo maoni yake yasihusishwe na Mwananchi Comm.

Swali jepesi la kujiuliza, kama alifukuzwa tar 20, kwa nini tangazo halikutolewa tar 20? Uma unakuja kujulishwa tar 23, je huoni kama anaweza kuingia transactions tar 21, 22 na 23 asubuhi kwa kutumia jina la Mwananchi Communication?
 
Kazi nzuri ya mwandishi wa habari Khalifa Said ya mfano ni mahojiano yake na Katibu wa CCM anayesimamia uhusiano wa kimataifa Kanali Mstaafu Lubinga ambayo yaligusia masuala ya kikanda, bara la Afrika, ulimwengu na suala mtambuka la siasa za Tanzania

October 12, 2019
LUBINGA: WAKO WALIOTAKA HATA NYERERE ASING'ATUKE

Kumekuwa na maoni kwamba hoja na ushawishi unaofanywa na baadhi ya wananchi kutaka ukomo wa uraisi uondolewe katika Katiba, unaweza kumfanya Raisi John Magufuli ashawishike na hivyo kuchukua hatua za kubaki madarakani wakati muda wake utakapoisha. Katika sehemu hii ya MCL Talk, mwandishi Khalifa Said anafanya mahojiano na Kanali Ngemela Lubinga, anayehusika na siasa na uhusiano wa mambo ya nje ya Chama cha Maapinduzi (CCM) akitaka kufahamu kwamba katika muktadha kama huo, wao kama chama wana uhakika gani kwamba mwenyekiti wao ataheshimu Katiba na kuondoka madarakani muda wake utakapoisha?

Source: Mwananchi Digital
 
Wamemuonea,hayo ni binafsi,hajatuma huo ujumbe kwa niaba ya Gaseti la Mwananchi..

Inafaa aende mahakamani akafungue kesi,..
 
Barua tarehe mtu anaweza kuweka tu, ila kama unafuatilia mambo huyu jamaa ilikuwa lazima wamfanyie kitu. Ana fikiria critically na sio mnafiki. Watu wa aina hiyo huwa hawapendwi.
Nimemfollow twitter na huwa yupo kinyume na serikali mara nyingi yaani kama biased flani hivi so,lolote lingetarajiwa mkuu
 
Mi nadhani Jf kuna shida, watu ni wajuaji kupita viwango.. Jamaa amefukuzwa tar 20 na tweet ya kumshambulia Jiwe ni ya tar 22, inaonyesha kabisa tweet yake sio sababu ya kusitishiwa kua mchangiaji wa gazeti husika labda kutakuwa na sababu nyingine ambayo wanaijua wao wahusika.. Sasa ujuaji wa wana Jf unakuja wanapotaka kulazimisha kuwa mwananchi wamerudisha tarehe nyuma ili kujinasua kwenye mzozo sasa unajiuliza wewe unaeamini kuwa mwananchi wamerudisha tarehe nyuma kwanini unilazimishe kuamini hicho na sio kwamba ni kweli jamaa atakua alifanya ishu nyingine iliyofanya asitishwe kuchangia mwananchi tar 20! Ushahidi tulionao at hand unakataa kuwa tweet ya jamaa haiwezi kuwa ndo ilifanya afukuzwe kutokana na tarehe kujichanganya ila kuna genge la wajuaji wanataka tuamini vitu tusivyoviona kwenye ushahidi? Hii si kupiga ramli? Hivi hapa ni nyumbani kwa great thinkers au wana harakati? Jf aka new Fb😀😆😀
 
Okay mkuu... Ila mhusika mwenyewe anasemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…