Mwandishi wa Habari wa The Citizen afukuzwa kazi. Kaponzwa na Maoni yake katika mitandao ya kijamii?

Jamaa ni very strong hapa akiwabadilikia cdm baada ya press ya VIDEO nassari
Your browser is not able to display this video.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Khalifa will go down in history as a courageous journalist who spoke what he stands for.
 
Hilo tangazo la mwananchi halioneshi kuwa alikuwa mfanyakazi wao linasema alikuwa "contributor" (mchangiaji) wa baadhi ya makala zao na kwa sasa hawataruhusu makala zake.
 
Public notice ya kufukuzwa kazi imetolewa leo mchana.

Kwanini public notice haikutolewa tar 20?

Hiyo tarehe imewafanya watu wengi washindwe kufikiria hata kidogo.

Hivi siwezi kundika statement hapa sasa hivi halafu nikaiwekea tarehe ya mwaka uliopita?

Tuleteeni barua iliyomfukuzisha kazi jamaa ambayo jamaa alikabidhiwa tar 20 baada ya kufukuzwa kazi. Iwe na muhuri wa kampuni ya mwananchi.

Siyo huo uhuni ulioandikwa kwenye hiyo statement ndio mnauita barua...

Unawaponda watu kuwa magreat thinker wakati wewe unaandika utumbo.
 
mbona kafukuzwa kazi tarehe 20 march na amemkosoa magufuli tarehe 22 march

mleta mada mbona hapo umetuingiza chaka

Sent using Jamii Forums mobile app
Public notice ya kufukuzwa kazi imetolewa leo mchana.

Kwanini public notice haikutolewa tar 20?

Hiyo tarehe imewafanya watu wengi washindwe kufikiria hata kidogo.

Hivi siwezi kundika statement hapa sasa hivi halafu nikaiwekea tarehe ya mwaka uliopita?

Tuleteeni barua iliyomfukuzisha kazi jamaa ambayo jamaa alikabidhiwa tar 20 baada ya kufukuzwa kazi. Iwe na muhuri wa kampuni ya mwananchi.

Siyo huo uhuni ulioandikwa kwenye hiyo statement ndio mnauita barua...

acha kukurupuka,nani kakwambia khalifa said ni mwandishi wa nchi jirani?. au kwa kuwa ana asili ya zanzibar?.

khalifa said ni mtanzania aliyekuwa anaandikia gazeti la citizen linalomilikiwa na mwananchi communication.

kampuni ya mwananchi communication haipo nchi jirani. ipo ndani ya tanzania, jijini dar es salaam maeneo ya tabata relini.
 
Hayo ndio madhara ya kutafuta kiki kwanguvu.

Subiri Ubora wa kazi yako ndio ukutambulishe sio utambulike kupitia sifa za kijinga kama hizo.
 
Hilo tangazo la mwananchi halioneshi kuwa alikuwa mfanyakazi wao linasema alikuwa "contributor" (mchangiaji) wa baadhi ya makala zao na kwa sasa hawataruhusu makala zake.
Ameshafanya baadhi ya mahojiano akiwa kama mwandishi wa mwananchi. Naona wameamua kumruka tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…