Mwandishi wa Habari wa The Citizen afukuzwa kazi. Kaponzwa na Maoni yake katika mitandao ya kijamii?

Huyu mwandishi ni katika wale wachache waliokuwa wanahoji maswali mazuri sana ktk press conference.

Nadhani weledi wake wa kufanya kazi ya uandishi ndiyo umesababisha aonekane 'mpinzani'.

Mfano mmoja kati ya kazi nzuri nyingi za mwandishi huyu ni mahojiano haya February 6, 2020 kuelekea Siku ya Sheria mada Sheria na Uwekezaji

Source : Mcl digital
Jamaa ni very strong hapa akiwabadilikia cdm baada ya press ya VIDEO nassari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Khalifa will go down in history as a courageous journalist who spoke what he stands for.
 
Hilo tangazo la mwananchi halioneshi kuwa alikuwa mfanyakazi wao linasema alikuwa "contributor" (mchangiaji) wa baadhi ya makala zao na kwa sasa hawataruhusu makala zake.
 
Public notice ya kufukuzwa kazi imetolewa leo mchana.

Kwanini public notice haikutolewa tar 20?

Hiyo tarehe imewafanya watu wengi washindwe kufikiria hata kidogo.

Hivi siwezi kundika statement hapa sasa hivi halafu nikaiwekea tarehe ya mwaka uliopita?

Tuleteeni barua iliyomfukuzisha kazi jamaa ambayo jamaa alikabidhiwa tar 20 baada ya kufukuzwa kazi. Iwe na muhuri wa kampuni ya mwananchi.

Siyo huo uhuni ulioandikwa kwenye hiyo statement ndio mnauita barua...

Mi nadhani Jf kuna shida, watu ni wajuaji kupita viwango.. Jamaa amefukuzwa tar 20 na tweet ya kumshambulia Jiwe ni ya tar 22, inaonyesha kabisa tweet yake sio sababu ya kusitishiwa kua mchangiaji wa gazeti husika labda kutakuwa na sababu nyingine ambayo wanaijua wao wahusika.. Sasa ujuaji wa wana Jf unakuja wanapotaka kulazimisha kuwa mwananchi wamerudisha tarehe nyuma ili kujinasua kwenye mzozo sasa unajiuliza wewe unaeamini kuwa mwananchi wamerudisha tarehe nyuma kwanini unilazimishe kuamini hicho na sio kwamba ni kweli jamaa atakua alifanya ishu nyingine iliyofanya asitishwe kuchangia mwananchi tar 20! Ushahidi tulionao at hand unakataa kuwa tweet ya jamaa haiwezi kuwa ndo ilifanya afukuzwe kutokana na tarehe kujichanganya ila kuna genge la wajuaji wanataka tuamini vitu tusivyoviona kwenye ushahidi? Hii si kupiga ramli? Hivi hapa ni nyumbani kwa great thinkers au wana harakati? Jf aka new Fb[emoji3][emoji38][emoji3]
 
Unawaponda watu kuwa magreat thinker wakati wewe unaandika utumbo.
 
mbona kafukuzwa kazi tarehe 20 march na amemkosoa magufuli tarehe 22 march

mleta mada mbona hapo umetuingiza chaka

Sent using Jamii Forums mobile app
Public notice ya kufukuzwa kazi imetolewa leo mchana.

Kwanini public notice haikutolewa tar 20?

Hiyo tarehe imewafanya watu wengi washindwe kufikiria hata kidogo.

Hivi siwezi kundika statement hapa sasa hivi halafu nikaiwekea tarehe ya mwaka uliopita?

Tuleteeni barua iliyomfukuzisha kazi jamaa ambayo jamaa alikabidhiwa tar 20 baada ya kufukuzwa kazi. Iwe na muhuri wa kampuni ya mwananchi.

Siyo huo uhuni ulioandikwa kwenye hiyo statement ndio mnauita barua...

20200323_161819.jpeg
 
Kidiplomasia wapo sahihi kwa 100%

Mwandishi wa habari wa nchi jirani kumwambia rais wa nchi nyingine kwamba watu wake wakifa yeye awe responsible

Sio kitendo cha uungwana hata kidogo na sio profissionalism ya kazi anayoifanya

Anataka kuingiza nchi yake na Tanzania Kwenye Mgogoro wa kidiplomasia usio na msingi

Angekuwa mwandishi wa ndani ya tanzania ingekuwa sahihi 100%

acha kukurupuka,nani kakwambia khalifa said ni mwandishi wa nchi jirani?. au kwa kuwa ana asili ya zanzibar?.

khalifa said ni mtanzania aliyekuwa anaandikia gazeti la citizen linalomilikiwa na mwananchi communication.

kampuni ya mwananchi communication haipo nchi jirani. ipo ndani ya tanzania, jijini dar es salaam maeneo ya tabata relini.
 
Hayo ndio madhara ya kutafuta kiki kwanguvu.

Subiri Ubora wa kazi yako ndio ukutambulishe sio utambulike kupitia sifa za kijinga kama hizo.
 
Hilo tangazo la mwananchi halioneshi kuwa alikuwa mfanyakazi wao linasema alikuwa "contributor" (mchangiaji) wa baadhi ya makala zao na kwa sasa hawataruhusu makala zake.
Ameshafanya baadhi ya mahojiano akiwa kama mwandishi wa mwananchi. Naona wameamua kumruka tu...
 
Back
Top Bottom