Wazazi na ndugu wa Aziz Kiii hawakuhusika kwa lolote kuanzia 1. Posa , 2. Mahari, 3. Engagement hadi Ndoa. Yaani Wazazi na ndugu wa Aziz ni timu ya Yanga.
Kwa familia inayojitambua isingeruhusu hili jambo lifanyike bila uwepo au uhusika wa wazazi na ndugu wa bwana harusi. Wazazi wa Hamisa wasingemuendekeza binti yao( anyway wazazi wa kishua hawa).
Jux juzi tu kafunga ndoa yenye heshima na Baraka zote za wazazi wa pande zote mbili.
Mwanetu Hamisa inawezekana lengo lako wewe na Mama yako ni kutimiza heshima ya ndoa, LAKINI BARAKA ZA WAZAZI WA KII NI MUHIMU SANA.
Hivi kweli mzazi anashuhudia matukio ya sherehe za ndoa ya mwanaye kupitia mitandaoni!!!!!