kaligopelelo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 2,832
- 4,070
Haya maisha Bado yanazidi kutupiga KoSafari ya kutoa misaada bado ni ngumu sana kwa mkopeshaji na mkopeshwaji
Niliumia Sana kwakweli mpaka naogopa kuwasaidia watuMungu atusaidie tu wengi tunaoishi nao tunajua ni wema kwetu kumbe ndio wabaya pata tatizo ndio unajua sasa yupi ni yupi
na yatatuuaHaya maisha Bado yanazidi kutupiga Ko
Sana mbaya wako ni mtu wa karibu yako kabisaNikweli,mara nyingi unayemuamini sana ndiye anayekuumiza
Hatari sanaBinadamu ni mzuri anapokua na Shida tu
Vp au Kuna mtu alikukopa anakuzungusha?π€π€π€π€
Vp au Kuna mtu alikukopa anakuzungusha?
Hilo kweli mambo haya yapo kabisa, kuna ndugu mmoja alikuwa anafanya hiyo biashara ya kukopesha, jamaa kakopa kulipa hataki kweli kaenda kwa sangoma ili kumroga mdai, kumbe sangoma anamfahamu huyo bwana na hana shida na mtu, akafuata yule ndugu kuwa nimeambiwa nikuroge ha ha ha [emoji23] sangoma kageuka malaika.Kuna siku nilikuwa kwa mganga mmoja wa kienyeji,huyu jamaa ni ndugu yangu nilimtembelea. Baada ya stori mbili tatu mara akaja mwanamke mmoja ambaye ni mteja wake.
Huyu mwanamke ni mfanyabiashara mtaji wake uliyumba akaenda kukopa kiasi Cha pesa Kwa mtu Ili kuboost biashara zake.
Mwenye hela yake amemfuata kumkumbusha ili amlipe deni lake kama nilivyonukuu sehemu ya mazungumzo yao kwenye diary yangu ya kwenye simu.
*Anayenidai ananisumbua
*Nashindwa kufanya biashara zangu Kwa furaha
*Nataka asiendelee kunisumbua
Mganga
*Lete kitu fulani
*Kafukie kaburini
*Kaweke njia panda
*Kwisha habari zake
Wakuu tuwe makini na tunaowasaidia.
Pole Sana,na zidisha maombiWacha kabisaaa
πππHilo kweli mambo haya yapo kabisa, kuna ndugu mmoja alikuwa anafanya hiyo biashara ya kukopesha, jamaa kakopa kulipa hataki kweli kaenda kwa sangoma ili kumroga mdai, kumbe sangoma anamfahamu huyo bwana na hana shida na mtu, akafuata yule ndugu kuwa nimeambiwa nikuroge ha ha ha [emoji23] sangoma kageuka malaika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli na Kuna ile kuwekea bond kitu Kwa mtu mwisho kina kuwa chake mazima hauwezi kugomboa miaka nenda rudiHata kumwachia mtu nyumba au mradi fulani ausimamie anaweza kukuendea kwa mganga ili hvyo vitu viwe vyake