Mwangalie unayemsaidia, wengine ukiwasaidia wanakuumiza

kaligopelelo

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2013
Posts
2,832
Reaction score
4,070
Kuna siku nilikuwa kwa mganga mmoja wa kienyeji,huyu jamaa ni ndugu yangu nilimtembelea. Baada ya stori mbili tatu mara akaja mwanamke mmoja ambaye ni mteja wake.

Huyu mwanamke ni mfanyabiashara mtaji wake uliyumba akaenda kukopa kiasi Cha pesa Kwa mtu Ili kuboost biashara zake.

Mwenye hela yake amemfuata kumkumbusha ili amlipe deni lake kama nilivyonukuu sehemu ya mazungumzo yao kwenye diary yangu ya kwenye simu.

*Anayenidai ananisumbua
*Nashindwa kufanya biashara zangu Kwa furaha
*Nataka asiendelee kunisumbua

Mganga
*Lete kitu fulani
*Kafukie kaburini
*Kaweke njia panda
*Kwisha habari zake

Wakuu tuwe makini na tunaowasaidia.
 
Mungu atusaidie tu wengi tunaoishi nao tunajua ni wema kwetu kumbe ndio wabaya pata tatizo ndio unajua sasa yupi ni yupi
 
Kuna siku nilikuwa kwa mganga mmoja wa kienyeji,huyu jamaa ni ndugu yangu nilimtembelea. Baada ya stori mbili tatu mara akaja mwanamke mmoja ambaye ni mteja wake.

Huyu mwanamke ni mfanyabiashara mtaji wake uliyumba akaenda kukopa kiasi Cha pesa Kwa mtu Ili kuboost biashara zake.

Mwenye hela yake amemfuata kumkumbusha ili amlipe deni lake kama nilivyonukuu sehemu ya mazungumzo yao kwenye diary yangu ya kwenye simu.

*Anayenidai ananisumbua
*Nashindwa kufanya biashara zangu Kwa furaha
*Nataka asiendelee kunisumbua

Mganga
*Lete kitu fulani
*Kafukie kaburini
*Kaweke njia panda
*Kwisha habari zake

Wakuu tuwe makini na tunaowasaidia.
Hilo kweli mambo haya yapo kabisa, kuna ndugu mmoja alikuwa anafanya hiyo biashara ya kukopesha, jamaa kakopa kulipa hataki kweli kaenda kwa sangoma ili kumroga mdai, kumbe sangoma anamfahamu huyo bwana na hana shida na mtu, akafuata yule ndugu kuwa nimeambiwa nikuroge ha ha ha [emoji23] sangoma kageuka malaika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂😂😂
 
Hata kumwachia mtu nyumba au mradi fulani ausimamie anaweza kukuendea kwa mganga ili hvyo vitu viwe vyake
Ni kweli na Kuna ile kuwekea bond kitu Kwa mtu mwisho kina kuwa chake mazima hauwezi kugomboa miaka nenda rudi
 
Back
Top Bottom