kaligopelelo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 2,832
- 4,070
Kuna siku nilikuwa kwa mganga mmoja wa kienyeji,huyu jamaa ni ndugu yangu nilimtembelea. Baada ya stori mbili tatu mara akaja mwanamke mmoja ambaye ni mteja wake.
Huyu mwanamke ni mfanyabiashara mtaji wake uliyumba akaenda kukopa kiasi Cha pesa Kwa mtu Ili kuboost biashara zake.
Mwenye hela yake amemfuata kumkumbusha ili amlipe deni lake kama nilivyonukuu sehemu ya mazungumzo yao kwenye diary yangu ya kwenye simu.
*Anayenidai ananisumbua
*Nashindwa kufanya biashara zangu Kwa furaha
*Nataka asiendelee kunisumbua
Mganga
*Lete kitu fulani
*Kafukie kaburini
*Kaweke njia panda
*Kwisha habari zake
Wakuu tuwe makini na tunaowasaidia.