MWANZA: Aliyefariki wiki chache nyuma akutwa akiwa mzima

Wazungu kwa uelewa ninyi chakushangaza kuamini yesu alikufa na akafufuka munaamini
Na huyo mwana wa Yesu ama
Hapo kama ni uchawi mnajuana maana waswahili ni mambo ya maovu tu ndio tunakazania
Wizi, uchawi, uchafu

Wazungu hawana ujinga huu na kila kitu lazima kichunguzwe mpaka kijulikane kitaaluma na sayansi pia

Ila ukweli lazima upatikane na hawawezi kufikia maamuzi na kusema tu huu ni ushirikina au ooh kafufuka kama yesu ila mtaa mwingine na sio kaburini
 
Sukhuma witches!
 
Kanda ya ziwa haswa mikoa ya Shinyanga, Mwanza na Geita, pia mkoa wa Kigoma naona ni vinaara wa matukio haya ya watu kuonekana baada ya kuzikwa...
 
Kamati ya ulinzi na usalama ya eneo husika ikifanya kazi yake sawasawa yatakuwa kama yule Mama wa Maiti ya mtoto kugeuka kuwa Jiwe
Hata yule wa jiwe huenda ni kweli lakini kazibwa mdomo, watu wana mambo ya siri sana kuzidi hata dunia yenyewe
 
Hivi ukishazika unaweza kwenda kufukua bila kibali? Hapo umesoma ukaelewa?
Kibali Cha kufukua maiti kinatoka Mahakamani na si police, tena huko Mahakamani ni hadi hàkimu Mchunguza maiti ajiridhishe na shauri hilo ndiyo atatoa hicho kibali! Sasa jiulize je huyo Mtoto aliyeonekana akiwa hai ambae Baba Mtu kasema ni mwanawe,je DNA imesha thibitisha hilo!? Isije kuwa ni wenge tu la kufiwa na Mtoto sema akili haitaki kukubali!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…