Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Ha ha ha yaani kweli kumhamisha MTU na kumficha huko, wangekuwa wanaleta maendeleo usiku wanahamisha hata maji watu wanachota na kujaza vyombo vyao asubuhi ziwa linabaki Mwanza.Shangaa na wewe
Yaani anaona kuuwa ndio nguvu zake zilipoishia ila kutengeneza kitu cha maana au kuroga ng'ombe zao ziwe zinazaa ndama 5 hawawezi