jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 6,963
- 9,401
Kama kweli wamefukua kaburi kabla ya kufanya DNA Kati ya Mtoto aliyeonekana akiwa hai na huyo Baba anaedai ni Mtoto wake,basi watakua wamekurupuka! Maana majibu ya DNA ndiyo yangetoa muongozo mzima!!Kwani taarifa si inasema kamanda kasema wawe watulivu wakati uchunguzi unafanyika? Sasa ulitaka wapimie pale pale kaburini si wanapeleka maabara mkuu? Pia hata mahakama ikitoa kibali lakini lazima polisi wawepo.