MWANZA: Aliyefariki wiki chache nyuma akutwa akiwa mzima

Kwani taarifa si inasema kamanda kasema wawe watulivu wakati uchunguzi unafanyika? Sasa ulitaka wapimie pale pale kaburini si wanapeleka maabara mkuu? Pia hata mahakama ikitoa kibali lakini lazima polisi wawepo.
Kama kweli wamefukua kaburi kabla ya kufanya DNA Kati ya Mtoto aliyeonekana akiwa hai na huyo Baba anaedai ni Mtoto wake,basi watakua wamekurupuka! Maana majibu ya DNA ndiyo yangetoa muongozo mzima!!
 
Watu wa huo ukanda wa kisesa mpaka bariadi ni wabadi kinoma kwenye uchawi na ushirikina , nimezaliwa na kulia Mwanza ila mtu akiniambia nikaoe sehemu hiyo ,Big No . Unaweza oa familia na ukoo wa wachawi wa Gambosi babu mpaka kitukuu waishie kukutoa kafara ,acha kabisa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Dah Tanzania hpn jmn
 
Haya mambo wasukuma wanayahusudu sana. Ilishawahi tokea ktk kijiji kimoja kiitwacho Sanga kilichopo wilayani KWIMBA
 
Unaamini Yesu alifufuka kaburini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…