Mwanza: Askofu Mwamakula na Dkt. Lwaitama wakamatwa na Polisi

Mwanza: Askofu Mwamakula na Dkt. Lwaitama wakamatwa na Polisi

Hawa jamaa wapuuzi kweli mnampiga kwala Rais. Mnataka akae kimya kuwafurahisha ebooo! Tumieni wembe mliousema.
 
Hahahah mungu yupi? Si mlisema mtamnyoa sasa mnatakafuta huruma.
Tulitahadharisha kuwa it's too early to applause this President. Unfortunately they called us either MATAGA or SUKUMA GANG. Thanks to God now they are desperately disappointed. The least I can say with certainty is this; the worst is yet to come
 
Unaijua hata maana ya inteljensia

USSR
Pole sana najua upo " KWENYE SIKU ZAKO " KUBWA JINGA WEWE🤣🤣🤣

HIYO NI NATURE AMBAYO NYIE WANAWAKE MMEUMBWA NAYO.

Hongera kwa kuchagua "UJINGA "

By the way wewe utakuwa ni Bare Headed ....🤣🤣🤣 ,

Ndo maana unauliza maswali ya KIJINGA....
 
Wamefanya kongamano lao sehemu ambayo polisi wanawajibika kuilinda bila kuwataarifu,hivyo polisi hawakuwa wanawatambua kama jinsi ambavyo wewe hautanitambua nikija kufanya kongamano kwako
Unaposema sehemu ambayo polisi wanawajibika kuilinda una maana gani?

Ni sehemu gani ambayo polisi hawawajibiki kuilinda?

Ukifanya birthday ya mtoto wako nyumbani kwako unahitaji kutoa taarifa kwa polisi? Kama unahitaji au huhitaji, kwa nini?
 
Polisi sehemu yoyote duniani ni mali ya wanasiasa,sisemi kwAmba ni haki au siyo lkni ndo inavokua,,yoyote atakaeingia madarakani polisi huyu huyu atatekeleza maagizo yake
Hata upinzani kuna wanasiasa, kwa hivyo hapo hujasema cha maana sana.
 
Katiba Mpya, ruhusa walipewa au walijikusanya tu?
 
Wapinzani fanyeni siasa kwenye majimbo yenu. Wenzenu CCM wanapita kwenye sehemu zao za kiutawala
Chadema nendeni Nkasi Kaskazini
Cuf nendeni Mtwara Vijijini
ACT nendeni Zanizibar
Huna akili Maboso . Yaani Democrats wawaamulie Republicans ni wapi wafanyie siasa zao ?! .

Elimu yetu ni janga la taifa
 
Ushauri kwenu Chadema.....
Mkikumbuka wakati wa kudai uhuru Radio vipeperushi vilitumika sana
Kwa nini msiwekeze nguvu kwenye kuwa na Radio na Television kufikisha ujumbe kwa hata walioko vijijini. Mfano mkiweka kituo Busia ya pande ya Kenya Kaskazini wote watasikia (huu ni mfano mmoja) wekeni vituo mipakani hizi kongamano mikutano muwe mmedhamiria kweli kweli kama mbwai na iwe mmbwai. Hili la kuita vyombo vya habari mnawapotezea watu muda.
Amueni
Hili la Leo basi mjue kila mtakapoenda hali ya kamata kamata itawakumba

Tumieni RADIO na SOCIAL MEDIA Kufanya mikutano otherwise MAANDAMANO ni MUHIMU
VITUO vya Radio msiweke mjini wekeni mipakani
Kama gazeti tu limefungiwa bila sababu za kueleweka ndiyo iwe Radio na Television ?!. Tena nchi jirani ?! Pakawa bila nguvu zingine katiba haiji. Ccm wanajua kwa wananchi hawana mvuto. Hawawezi kukubali jambo linalowaweka sawa na wapinzani wao.

Kama wananchi ni waoga na mbumbumbu kiasi hiki. Labda wahisani waokoe jahazi
 
Back
Top Bottom