Mwanza: Askofu Mwamakula na Dkt. Lwaitama wakamatwa na Polisi

Mwanza: Askofu Mwamakula na Dkt. Lwaitama wakamatwa na Polisi

hakuna kiongozi Tanzania hii aliwahi kuwa mbabe na mdhulumati Kama msepazake... Kaonea watu weeee Sasa Kiko wap? Duniani tunapita na Hakuna mbabe duniani humu......hao mnaowadhania Ni wababe mishahara tunawalipa sisi mnaodhani Ni wanyonge..msijidanganye....tendeni haki mwende zenu. Haki ndo kitu Cha msingi hapa duniani, ubabe wa kuonea watu kisa wadhani umeshika mpini Ni kujichumia udhulumati tu na kujilisha upepo. "Hakuna dhambi dunian ambayo utaitenda na hutoilipia"...Kama si leo duniani ni kesho akhera...
 
Katiba ni muhimu sana, ila inapodaiwa kihuni ndipo tatizo linapoanzia. Unampa mtu maiki, alafu anasema na huyo mama yenu nitamnyoa.
 
Siamini kabisa kuwa Raisi Samia yuko nyuma ya hilo ila ni hao Mapolisi ambao bado wanafikiria Mwendazake bado yu hai atawapandisha vyeo
Inawezekana ni kweli mama hahusiki. Ila dalili zinaonyesha mama anajitahidi aendelee baada ya 2025. Kubadili katiba mapema inaweza kumharibia..... Hicho ndicho kinachomukwamisha.
 
Katiba ni muhimu sana, ila inapodaiwa kihuni ndipo tatizo linapoanzia. Unampa mtu maiki, alafu anasema na huyo mama yenu nitamnyoa.
Kibinadamu kauli la hizi lazma zikukwaze,how you react ndo utofauti wetu unakuja.. lakini tatzo ndugu zetu wengi Wanataka wakupige mijeledi alafu ukae kimya 🤣🤣🤣
 
hakuna kiongozi Tanzania hii aliwahi kuwa mbabe na mdhulumati Kama msepazake... Kaonea watu weeee Sasa Kiko wap? Duniani tunapita na Hakuna mbabe duniani humu......hao mnaowadhania Ni wababe mishahara tunawalipa sisi mnaodhani Ni wanyonge..msijidanganye....tendeni haki mwende zenu. Haki ndo kitu Cha msingi hapa duniani, ubabe wa kuonea watu kisa wadhani umeshika mpini Ni kujichumia udhulumati tu na kujilisha upepo. "Hakuna dhambi dunian ambayo utaitenda na hutoilipia"...Kama si leo duniani ni kesho akhera...
Charles Mbowe nae alionea watu?
 
Despite dictator Magufuli's demise repression continues in Tanzania as peoples right to assemble is curtailed once again by the usually pro ruling party police.

It might now seem that the problem isn't the people running this country but rather the ruling party whose philosophy of not relinquishing power at any cost is the percussor for perpetuating misrule that the regime is now renowned for.

For how long this repressive show of force will continue to sustain this regime by helping it cling to power is nobody's guess.
Hapo umekuwa mzungu sasa, kenge wewe
 
Kwani katiba si inaruhusu mikusanyiko na uhuru wa kutoa mawazo sasa why watu wawekeww vikwazo ?
 
Afrika ya kusini ina katiba yenye kipengele cha Rais kushtakiwa....ila hakikuzuia WANANCHI kuandamana ,kuiba na kufanya vurugu......

Chadema wanatumia fursa za KISIASA kuleta CHOKOCHOKO.....

#KatibaIliyopoInatutosha
 
Naomba nikusahihishe. Mikutano ya hadhara haijazuiliwa ni kama Alivyowahi sema Magufuli. Kama unamkutano wa hadhara fanyia jimboni kwako.

Alichosema Magufuli sio sheria

Hakuna sheria inayosema mkutano fanyia jimboni
 
Chadema haitaki nchi iwe na UTULIVU...

Chadema ni wapinga maendeleo....

#KaziIendelee
 
Charles mbowe nae alionea watu?
Kama naye alionea watu Moto unamhusu. Na usitizame mwanzako Bali jitizame wewe maana kaburini utakuwa peke yako, kwamba mwenzio naye Ni dhulumati haitokuponya wewe Kama utadhulumu na kuonea wenzio, acha udhulumati, Maisha haya Ni mafup sana, achilia mbali tu tuvimadaraka hivi hata Kama ungepewa ulimwengu wote bila Haki, Aman na Upendo Ni bure tu na Ni kujijaza upepo.
 
Naomba nikusahihishe. Mikutano ya hadhara haijazuiliwa ni kama Alivyowahi sema Magufuli. Kama unamkutano wa hadhara fanyia jimboni kwako.

Kama CHADEMA sehemu ambayo wako huru kufanya mkutano wa hadhara ni Nkasi Kaskazini pekee kwa jimbo. Na kama kuna kata ambazo walishinda wakati wa uchaguzi.
Vinginevyo ni mikutano ya ndani tu.

CCM wanafanya mikutano ya hadhara kwa sababu almost majimbo yote ni yao.
Huo ni upumbavu tena ule wa fisi na sungura,
 
Back
Top Bottom