Mwanza: Askofu Mwamakula na Dkt. Lwaitama wakamatwa na Polisi

Hakika siasa za tanzania ni za kustabisha sana.Rais samia alitangaza kuwa mikutano ya hadhara ba
Naomba nikusahihishe. Mikutano ya hadhara haijazuiliwa ni kama Alivyowahi sema Magufuli. Kama unamkutano wa hadhara fanyia jimboni kwako.

Kama CHADEMA sehemu ambayo wako huru kufanya mkutano wa hadhara ni Nkasi Kaskazini pekee kwa jimbo. Na kama kuna kata ambazo walishinda wakati wa uchaguzi.
Vinginevyo ni mikutano ya ndani tu.

CCM wanafanya mikutano ya hadhara kwa sababu almost majimbo yote ni yao.
 
Anzia hapo nyuma ya keyboard unazoandikia maana huwezi kuandamana barabarani kama we ni mwanaume kweli anza kuandamana na usipoandamana wewe ni wa kike tena malaya
 
Upo tayari kuhumili vile virungu lakini😂😂
 
Hakuna mtz anaweza ingia barabarani, tozo tu watu wapo kimya
 
Walikua na kibali?

Sababu sio siasa tuu hata lingekua kongamano la mashekhe, mapadre au wachungaji bila kibali wangekamatwa tuu
Actually makongamano na mikutano ni haki ya kikatiba, bila kibali.

Kuna utaratibu wa kutoa taarifa polisi kama unahitaji ulinzi wa polisi.

Ukianza kuweka habari za vibali unaanza kuiminya haki ya kikatiba.
 
Watakuja kuelewa tu tatizo hata huyo mbunge wao wa nkasi hawamtambui sijui wanataka wakaweke mikutano jimboni kwa nani
 
Ndip maana tunaitaka Katiba mpya ili iweze kukomesha huu uhuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…