Mwanza: Baa ya The Cask yafungwa kwa tuhuma za ukwepaji kodi

Mwanza: Baa ya The Cask yafungwa kwa tuhuma za ukwepaji kodi

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Serikali wilayani llemela mkoani Mwanza imeifunga bar maarufu ya The Cask Bar & Grill jijini Mwanza kwa tuhuma za ukwepaji kodi kwa kipindi cha miaka miwili.

Kwa mjibu wa Mkurugenzi wa manispaa ya llemela Kiomono Kibamba, amesema uongozi wa bar hiyo umekwapa kodi ya Serikali na kuendesha biashara zaidi ya moja eneo hilo hilo.

Akizungumza katika eneo hilo la Bar Mkurugenzi wa llemela, Kiomoni Kibamba amesema mmiliki wake amekiuka masharti ya uendeshaji wa biasharaikiwemo kukosa leseni ya biashara kwa kipindi cha miaka miwili.

Pia soma:
- Imekuwaje The Cask Bar waombe radhi kwa wateja wao kuwa na ujumbe wa kuokoa bandari

UPDATE

- Baa ya The Cask yafunguliwa
 
Hii serkali ni wanafiki sana! Hawataki kukosolewa na mtu wakijua sio kada lazima upate tabu sana! Mara wanajidai hakuna kudunga biashara unafiki mkubwa sana!
Mwigulu nchemba si alisema hakuna kufunga biashara? Sasa mtu anafungiwa biashara kwa kukwepa kodi sasa kwanini asilioishwe faini? Au kuna zaidi ya hili?
 
Back
Top Bottom