Mwanza City: The Photo Gallery

Miradi ya ESMF for tactic kama ifuatavyo
1.Mbeya imeongoza kupewa miradi 15
2.Dodoma imepata miradi 10
3.Arusha imepata miradi 7
4.Mwanza cc imepata miradi 3.πŸ™πŸ™
Si hapo ilemela municipal haipo
Ndo maana imekua kidogo
 
Huo mradi wa tactic umeanza au bado

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Naomba utume hio pdf

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Naona unachanganya na barabara ya VETA-Buswelu ambayo ndio imekamilika.
Hii ya Buswelu-Busenga-Cocacola bado hata kuanzwa
Nilimskia umy mwalimu kipindi ni waziri tamisemi aligusia kuanza kwa ujenzi wa barabara hii pamoja na ile ya Igoma
 
Nilimskia umy mwalimu kipindi ni waziri tamisemi aligusia kuanza kwa ujenzi wa barabara hii pamoja na ile ya Igoma
Ila nahisi hauko mbali sana kuanza Halmashauri wamepita kukagua itakapopita barabara na kuna watu wameambiwa wapishe ujenzi waliojenga kwenye hifadhi ya barabara
 
Ninachofurahi ni kuwa kutakuwa na mtandao mkubwa wa lami unaounganisha buswelu na maeneo mengine ya wilaya
 
Ninachofurahi ni kuwa kutakuwa na mtandao mkubwa wa lami unaounganisha buswelu na maeneo mengine ya wilaya
Yes Buswelu iko vizuri.
Nafikiri inahitajika buswelu nyakato kupitia kangaye.

Kuna ile inapita igombe kayenze mpaka Magu zaidi ya 40km iko kwenye rada za tanroads
 
Yes Buswelu iko vizuri.
Nafikiri inahitajika buswelu nyakato kupitia kangaye.

Kuna ile inapita igombe kayenze mpaka Magu zaidi ya 40km iko kwenye rada za tanroads
Nilisikia wanajenga mecco hadi kangaye kwa kiwango cha mawe ... yaani wanataka kuzingua kabisa ... barabara za mawe ziwe za mtaani na sio za wilaya .
 
Hii Google map imekupiga na kitu kizito ... barabara ya cocacola buswelu haina lami ...mim mwanza nimeondoka mwezi wa nne. Labda kama ndani ya miezi miwili wamekamilisha
Hujaielewa Google map, hiyo barabara nimeonyesha ni barabara ya Buswelu/ Kiseke keep left via Busenga to Cocacola/ Olasit filling stattion
 
Kuna project nyingi za kuinganisha Buswelu, ila katika zote naisubiria ya Mboga mboga - Nyamhongolo, 9km.
Yes Buswelu iko vizuri.
Nafikiri inahitajika buswelu nyakato kupitia kangaye.

Kuna ile inapita igombe kayenze mpaka Magu zaidi ya 40km iko kwenye rada za tanroadse
 
Hujaielewa Google map, hiyo barabara nimeonyesha ni barabara ya Buswelu/ Kiseke keep left via Busenga to Cocacola/ Olasit filling stattion
Hata hvyo hicho kipande cha kuja olasiti hakina rami
 
Kuna project nyingi za kuinganisha Buswelu, ila katika zote naisubiria ya Mboga mboga - Nyamhongolo, 9km.
Hii nafikiri bajeti ijayo itafanyiwa kazi, pia inachagizwa na uwepo wa stendi ya Nyamhongolo bila shaka itakuwa soon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…