Msukuma mwenye asili ya kijaluo [emoji33][emoji33][emoji28]Huyo ni mbongo hustler ni msukuma mwenye asili ya kijaluo kama sikosei, sijui alifuma wapi pesa huyu mtu asee.
Wanaleta nyuzi za kulalama kila leo!π€£π€£π€£
Hizi ziara za madiwani ni njia ya kula posho tu hamna Cha maana ..Kama mcc wanataka wajenge stendi pale nyabulogoya wakishaamia nyegezi.
Hahaha mbona unatuchanganya bhna kwenye asili ya kijaluo? Wewe sema ni mjaluo huyo!Huyo ni mbongo hustler ni msukuma mwenye asili ya kijaluo kama sikosei, sijui alifuma wapi pesa huyu mtu asee.
Mama ni mjaluo baba ni msukuma lakini anatumia jina kichina, adi kwake napajua ana mansion pale kwake hatari mitaa ya nyasaka.
Wacha na via duct isimame, njia nne ianze kuchakatwa, Kigongo - Busisi ikamilike, Airport terminal ianze [emoji13][emoji13][emoji13], bado mtandao wa barabara za ndani uongezeke, vyuo vikubwa vianze full operations. Kuna watu wataita maji mmaila nyegez,nyamho goli,soko kuu tumeupiga mwingi sana
Madiwani wanapenda sana per diemπππHizi ziara za madiwani ni njia ya kula posho tu hamna Cha maana ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila nilipita pale sabasaba kwenye ujenzi wa chuo cha DIT kama mlivyonambia, hakika nilifika adi kwenye michoro asee michoro inavutia sana na magorofa yatakuwa ni mengi kama sita hivi, eneo l ujenzi pia sio haba pia majengo mengi ni floor nne adi sitaπππWacha na via duct isimame, njia nne ianze kuchakatwa, Kigongo - Busisi ikamilike, Airport terminal ianze [emoji13][emoji13][emoji13], bado mtandao wa barabara za ndani uongezeke, vyuo vikubwa vianze full operations. Kuna watu wataita maji mma
Via duct wameanza kuinua adi nguzo.Wacha na via duct isimame, njia nne ianze kuchakatwa, Kigongo - Busisi ikamilike, Airport terminal ianze [emoji13][emoji13][emoji13], bado mtandao wa barabara za ndani uongezeke, vyuo vikubwa vianze full operations. Kuna watu wataita maji mma
ππ uko vizuri sana!Ila nilipita pale sabasaba kwenye ujenzi wa chuo cha DIT kama mlivyonambia, hakika nilifika adi kwenye michoro asee michoro inavutia sana na magorofa yatakuwa ni mengi kama sita hivi, eneo l ujenzi pia sio haba pia majengo mengi ni floor nne adi sitaπππ
Ilemela inakuja vizuri sanaIla nilipita pale sabasaba kwenye ujenzi wa chuo cha DIT kama mlivyonambia, hakika nilifika adi kwenye michoro asee michoro inavutia sana na magorofa yatakuwa ni mengi kama sita hivi, eneo l ujenzi pia sio haba pia majengo mengi ni floor nne adi sita[emoji120][emoji120][emoji120]
Hiki chuo tunaomba tu kisiitwe tena DIT, tunatak tujitegemee wenyewe hatutaki hiwe campus ya dar kiitwe Mwanza institute of technology.ππ uko vizuri sana!
Wapo vizuri sana ata barabara zao hazina mchezo.Ilemela inakuja vizuri sana
Mbona kilishawahi kuitwa hivyo ...lakin inabidi kianze kuwa chini ya DIT Kwa sababu kinategemea wataalamu kutoka DIT ..Hiki chuo tunaomba tu kisiitwe tena DIT, tunatak tujitegemee wenyewe hatutaki hiwe campus ya dar kiitwe Mwanza institute of technology.
Hiki chuo tunaomba tu kisiitwe tena DIT, tunatak tujitegemee wenyewe hatutaki hiwe campus ya dar kiitwe Mwanza institute of technology.
Na mimi ndo ninavyojua ila sikujua kati ya wazazi wake nani ni msukuma! Kwa hiyo zongii ni ngosha ugali tofali sio?πππMama ni mjaluo baba ni msukuma lakini anatumia jina kichina, adi kwake napajua ana mansion pale kwake hatari mitaa ya nyasaka.
Pia ana apartment nyingi sana nyasaka, na mara ya kwanza kuona gari la hummer hapa mwanza lilikuwa ni hili ya zongy yopa mtu na robo.
Hapana naona ni sehemu sahihi kabisaWangekitoa nje ya mji tu kama cha nyagh'omango
Lakini kwa badae wakishapat wataalamu wao na wakiwasomesha ata huko nje ya nchi kwa utaalamu wa ngozi na technology za kuunda simu tujitegemee huwa sipendi vyuo vya Mwanza viwe chini ya chuo fulani.Mbona kilishawahi kuitwa hivyo ...lakin inabidi kianze kuwa chini ya DIT Kwa sababu kinategemea wataalamu kutoka DIT ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka huu ilemela wanaenda kuweka record ya mapato . mkurugenzi wao Yuko makini sana ..robo hii wamekusanya bilion 5 badala ya bilion 3 waliyokuwa wamepanga wakusanye ...tusishangae mwaka huu wakazidiwa kidogo tu nyamaganaMadiwani wanapenda sana per diem[emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo ngosha fighter sijui pesa alizitolea wapi huyo dadeki.Na mimi ndo ninavyojua ila sikujua kati ya wazazi wake nani ni msukuma! Kwa hiyo zongii ni ngosha ugali tofali sio?πππ